Prof Assad amewaumbua vibaraka wa mafisadi wa CCM ambao walimsingizia hayati JPM kukwapua tril 1.5

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,480
Reaction score
7,443
Hii nchi imejaa watu waovu kwa asilimia 70. Hawalitakii mema taifa lao. Ndio maana hayati Magufuli alipodhibiti ufisadi wao walimfanyia fitina za kila namna. Na hata mpaka leo hii hakuna anayeamini kama alifariki kwa natural death.

Walisambaza uongo usiokuwa na maana kuwa alikwapua tril 1.5 na kwenda kuzificha kwenye mahandaki Chato.

Lakini aliyekuwa CAG hapo jana amehojiwa na kukiri kuwa kulikuwa hakuna ubadhirifu bali kulikuwa na mapungufu ya taarifa za mahesabu.

Wazandiki wa CCM wanazidi kuumbuliwa.
 
Sikumbuki kama Magufuli personally aliwahi kujitetea kuhusu hili jambo, zaidi niliona akianza kumshughulikia Prof. Assad.

Kama ulichoandika hapa ni kweli nitashangaa kwanini Magufuli asijitetee wakati ule kama uwezo huo alikuwa nao, badala yake akaanza kumsumbua Prof. Assad.

Ina maana Prof. Assad alitekwa na kikundi cha watu ili amchafue Magufuli wakati Magufuli akiwa Rais? Kama hii ni kweli, nitaiongezea kwenye zjle sababu zangu za kuamini Magufuli aliuwawa.

Hebu tuwekee hapa ushahidi tusikie na sisi namna Prof. Assad akilizungumzia hilo jambo ili tuchambue tujue uhalisia.
 
Unajua kampuni ya mayanga construction?
Unamjua huyo mtu anayeitwa mayanga?
Unajua hiyo kampuni ilivyopandishwa madaraja haraka mpaka kupata daraja A Ili ipewe tenda kubwa za kujenga barabara nk?
Unajua kwamba ndo iliyojenga karibu barabara zote kubwa Kanda ya ziwa kipindi Cha magu?
Chato airport na mwanza kajenga mayanga fuatilia. Usiweweseke
Unajua commission anayoipata mtu anayepeleka mteja kiwandani kununua ndege? Zile mlizokuwa mnapokea pale airport? Mkishangilia kwa shangwe kama mazuZu?
Unajua kwenye ndege 11 magufuli aliupata commission shilingi ngapi kwa midege yote 11.
Unajua pesa alikuwa anapokea nani Ili jamaa aonekane msafi? Ni mayanga huyu ndiyo aliyekuwa anakaa na kujua siri za magufuli.
Magufuli alivyokuwa mjinga hajawahi kuwambia watoto wake mzigo ulipo.
Alipodondoka jamaa kasikilozia hamna aliyemfuata. Akapeleka kaubani kake kidogo akakausha.
Fuatilia hili Ili usitupigie makelele.
Ile hoteli ya five star pale chato ni mali ya magufuli
Alikuwa jambazi mkali na katilo tu kama wengine
 
MAGUFULI hakuwa na uwezo wa kuiba matrillion ya hela. Hata billion kwake ilikuwa kubwa. Nilimfahamu tangu tunasoma shule wote. Alikuwa na kiburi cha kisukuma, alidharau huo upuuzi
 
Hii nchi imejaa watu waovu kwa asilimia 70. Hawalitakii mema taifa lao. Ndio maana hayati Magufuli alipodhibiti ufisadi wao walimfanyia fitina za kila namna. Na hata mpaka leo hii hakuna anayeamini kama alifariki kwa natural death.

Walisambaza uongo usiokuwa na maana kuwa alikwapua tril 1.5 na kwenda kuzificha kwenye mahandaki Chato.

Lakini aliyekuwa CAG hapo jana amehojiwa na kukiri kuwa kulikuwa hakuna ubadhirifu bali kulikuwa na mapungufu ya taarifa za mahesabu.

Wazandiki wa CCM wanazidi kuumbuliwa.
Kwanini usitumie akili zako mpaka kichwa kinabakia kuwa bustani ya nywele tu? Kama unadhani kuwa kuwa na mapungufu kwenye hesabu kunajibika kirahisi, kwanini Magufuli badala ya kujibu na watu wake wakaishia kumvua u-CAG Prof Assad kinyume na matakwa ya Katiba ya JMT?
 
Hii nchi imejaa watu waovu kwa asilimia 70. Hawalitakii mema taifa lao. Ndio maana hayati Magufuli alipodhibiti ufisadi wao walimfanyia fitina za kila namna. Na hata mpaka leo hii hakuna anayeamini kama alifariki kwa natural death.

Walisambaza uongo usiokuwa na maana kuwa alikwapua tril 1.5 na kwenda kuzificha kwenye mahandaki Chato.

Lakini aliyekuwa CAG hapo jana amehojiwa na kukiri kuwa kulikuwa hakuna ubadhirifu bali kulikuwa na mapungufu ya taarifa za mahesabu.

Wazandiki wa CCM wanazidi kuumbuliwa.
Magu mwizi tu mbona aliiba rambirambi za wahanga wa mtetemeko Bukoba? Usimtetee jamaa.
 
MAGUFULI hakuwa na uwezo wa kuiba matrillion ya hela. Hata billion kwake ilikuwa kubwa. Nilimfahamu tangu tunasoma shule wote. Alikuwa na kiburi cha kisukuma, alidharau huo upuuzi
Asifuye mvua imenyea. Magufuli alikuwa mwizi tu kama mwizi yeyote wa CCM. Uwizi siyo kwenda benki na kuvunja kisha unakimbia na hela. Bali Magufuli alifanya miamala ambayo haikufuata sheria kama ifuatavyo:-

1.Kununua ndege za Boeing bila kufuata mfumo wa zabuni kama Public Procurement Act inavyotaka

2.Kutoa tenda za Arab Contractors na Yap Merkezi bila zabuni

3.Kufanya Plea barganing magumashi na watuhumiwa akimshirikishabBiswalo Mganga aliyekuwa DPP

4.Kumpa Manyanga Construction kazi za ujenzi za barabara za Chato na Chato Airport. Kumbuka Manyanga alikuwa ameoa dada wa Janet Magufuli
 
Kusema ukqeli kabisa samia hakufaa kabisa kurithiswa madaraka.kama ni katiba ni bora tu tungeikanyaga lakini siyo kumpa urais.Ndiyo maana kunawatu walikataa kabisa hadi mabeyo akatishia kuwalipua na ndege za jeshi ndiyowakawa hawana namna.MABEYO kasababisha maafa kama ya mo29 na ya sasa yanayokuja tarehe 7/7/2026 ambayo yatakuwa mara 90 ya ilivyokuwa m029.Bila mabeyo kulazimisha huyu mzanzibari lazima tungepata mzalendo mwingine kama alivyokuwa magufuli
 
Unajua kampuni ya mayanga construction?
Unamjua huyo mtu anayeitwa mayanga?
Unajua hiyo kampuni ilivyopandishwa madaraja haraka mpaka kupata daraja A Ili ipewe tenda kubwa za kujenga barabara nk?
Unajua kwamba ndo iliyojenga karibu barabara zote kubwa Kanda ya ziwa kipindi Cha magu?
Chato airport na mwanza kajenga mayanga fuatilia. Usiweweseke
Unajua commission anayoipata mtu anayepeleka mteja kiwandani kununua ndege? Zile mlizokuwa mnapokea pale airport? Mkishangilia kwa shangwe kama mazuZu?
Unajua kwenye ndege 11 magufuli aliupata commission shilingi ngapi kwa midege yote 11.
Unajua pesa alikuwa anapokea nani Ili jamaa aonekane msafi? Ni mayanga huyu ndiyo aliyekuwa anakaa na kujua siri za magufuli.
Magufuli alivyokuwa mjinga hajawahi kuwambia watoto wake mzigo ulipo.
Alipodondoka jamaa kasikilozia hamna aliyemfuata. Akapeleka kaubani kake kidogo akakausha.
Fuatilia hili Ili usitupigie makelele.
Ile hoteli ya five star pale chato ni mali ya magufuli
Alikuwa jambazi mkali na katilo tu kama wengine
Ulitaka hizi tenda apewe nani? Na vip kuna tenda yoyote aliyoshika mayanga construction ilikwama?

Hii tenda ya ujenzi wa barabara ya mwendo Kasi kutoka tegeta kwenda Morocco wamepewa wachina karbia miaka minne sasa vipi Kuna chochote kinachoendelea??
Kama sisi tulioko songea tunajua mayanga ni ndugu yake na mke wa magufuli inakuaje watoto wake wasijue kinachoendelea?
Hata wakati magufuli akiwa mbunge huko chato ujenzi wa mabwawa yote ya vijiji vya huko ulifanywa na kampuni ya mayanga construction na uliofanyika vizuri.
 
Hii nchi imejaa watu waovu kwa asilimia 70. Hawalitakii mema taifa lao. Ndio maana hayati Magufuli alipodhibiti ufisadi wao walimfanyia fitina za kila namna. Na hata mpaka leo hii hakuna anayeamini kama alifariki kwa natural death.

Walisambaza uongo usiokuwa na maana kuwa alikwapua tril 1.5 na kwenda kuzificha kwenye mahandaki Chato.

Lakini aliyekuwa CAG hapo jana amehojiwa na kukiri kuwa kulikuwa hakuna ubadhirifu bali kulikuwa na mapungufu ya taarifa za mahesabu.

Wazandiki wa CCM wanazidi kuumbuliwa.
Ofisi nzima ya hayati JPM iliaga dunia kwa sababu ya COVID19, Ipo picha mtandaoni inaonyesha wale wasaidizi wote wanne wanaosimamia viapo vya viongozi kipindi cha awamu yake walioanguka kwa maradhi yale.

Punguzeni kutengeneza chuki za kipumbavu sio kila kifo kina mkono wa mtu. JPM alikuwa anatembea na betri kwenye moyo hakuwa mzima kwa namna yoyote ile suala la yeye kuanguka lilikuwa la muda tu.
 
Kusema ukqeli kabisa samia hakufaa kabisa kurithiswa madaraka.kama ni katiba ni bora tu tungeikanyaga lakini siyo kumpa urais.Ndiyo maana kunawatu walikataa kabisa hadi mabeyo akatishia kuwalipua na ndege za jeshi ndiyowakawa hawana namna.MABEYO kasababisha maafa kama ya mo29 na ya sasa yanayokuja tarehe 7/7/2026 ambayo yatakuwa mara 90 ya ilivyokuwa m029.Bila mabeyo kulazimisha huyu mzanzibari lazima tungepata mzalendo mwingine kama alivyokuwa magufuli
Inategemea na mtu binafsi. Kuna watu wanatajirika muda huu wakati wewe ukihesabu mabaya ya Samia.

Kuna watu awamu ya tano walitajirika vibaya mno wakati wengine wakihesabu lawama kwa mheshimiwa JPM.

Hakuna rais mkamilifu, inategemea ukakamavu au uvivu wako mwenyewe.
 
Hii nchi imejaa watu waovu kwa asilimia 70. Hawalitakii mema taifa lao. Ndio maana hayati Magufuli alipodhibiti ufisadi wao walimfanyia fitina za kila namna. Na hata mpaka leo hii hakuna anayeamini kama alifariki kwa natural death.

Walisambaza uongo usiokuwa na maana kuwa alikwapua tril 1.5 na kwenda kuzificha kwenye mahandaki Chato.

Lakini aliyekuwa CAG hapo jana amehojiwa na kukiri kuwa kulikuwa hakuna ubadhirifu bali kulikuwa na mapungufu ya taarifa za mahesabu.

Wazandiki wa CCM wanazidi kuumbuliwa.
Nakumbuka upinzani walibeba bango sana
 
Asifuye mvua imenyea. Magufuli alikuwa mwizi tu kama mwizi yeyote wa CCM. Uwizi siyo kwenda benki na kuvunja kisha unakimbia na hela. Bali Magufuli alifanya miamala ambayo haikufuata sheria kama ifuatavyo:-

1.Kununua ndege za Boeing bila kufuata mdumo wa zabuni kama Public Procurement Act inavyotaka

2.Kutoa tenda za Arab Contractors na Yap Merkezi bila zabuni

3.Kufanya Plea barganing magumashi na watuhumiwa akimshirikishabBiswalo Mganga aliyekuwa DPP

4.Kumpa Manyanga Construction kazi za ujenzi za barabara za Chato na Chato Airport. Kumbuka Manyanga alikuwa ameoa dada wa Janet Magufuli
Sijaona ufisadi zaidi ya maneno tu mlivyokuamnachukia Magufuli sasa hivi mgekua mmeanika kila kitu hizi tuuma tu ambazo hazina ushaidi
 
Back
Top Bottom