baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Mlivyokua na chuki na Magufuli taarifa zote zingekua njeSio kila kitu unakifahamu tafuta taarifa kutoka vyanzo mbalimbali.

Kwaio Chato Beach Resort ni five star hotel???Unajua kampuni ya mayanga construction?
Unamjua huyo mtu anayeitwa mayanga?
Unajua hiyo kampuni ilivyopandishwa madaraja haraka mpaka kupata daraja A Ili ipewe tenda kubwa za kujenga barabara nk?
Unajua kwamba ndo iliyojenga karibu barabara zote kubwa Kanda ya ziwa kipindi Cha magu?
Chato airport na mwanza kajenga mayanga fuatilia. Usiweweseke
Unajua commission anayoipata mtu anayepeleka mteja kiwandani kununua ndege? Zile mlizokuwa mnapokea pale airport? Mkishangilia kwa shangwe kama mazuZu?
Unajua kwenye ndege 11 magufuli aliupata commission shilingi ngapi kwa midege yote 11.
Unajua pesa alikuwa anapokea nani Ili jamaa aonekane msafi? Ni mayanga huyu ndiyo aliyekuwa anakaa na kujua siri za magufuli.
Magufuli alivyokuwa mjinga hajawahi kuwambia watoto wake mzigo ulipo.
Alipodondoka jamaa kasikilozia hamna aliyemfuata. Akapeleka kaubani kake kidogo akakausha.
Fuatilia hili Ili usitupigie makelele.
Ile hoteli ya five star pale chato ni mali ya magufuli
Alikuwa jambazi mkali na katilo tu kama wengine
Assad aliweka wazi kwamba Lugumi aliyefanya biashara na JPM hakuwa na hesabu safi, JPM akaona katukanwa ndio akamfukuza kazi Assad.Kwanini usitumie akili zako mpaka kichwa kinabakia kuwa bustani ya nywele tu? Kama unadhani kuwa kuwa na mapungufu kwenye hesabu kunajibika kirahisi, kwanini Magufuli badala ya kujibu na watu wake wakaishia kumvua u-CAG Prof Assad kinyume na matakwa ya Katiba ya JMT?
Mimi ni mtu wa JPM kwani naheshimu anachokifanya. JPM hakuwa malaika alikuwa binadamu kama mimi na wewe.Mlivyokua na chuki na Magufuli taarifa zote zingekua nje
ni muhimu sana hekima imuelekeze hiyo Mzee kujiheshimu, licha ya kwamba ana kinyongo mno moyoni ambao kwa kiasi kikubwa kimesababishwa na uoga na unafiki wake mwenyewe.Hii nchi imejaa watu waovu kwa asilimia 70. Hawalitakii mema taifa lao. Ndio maana hayati Magufuli alipodhibiti ufisadi wao walimfanyia fitina za kila namna. Na hata mpaka leo hii hakuna anayeamini kama alifariki kwa natural death.
Walisambaza uongo usiokuwa na maana kuwa alikwapua tril 1.5 na kwenda kuzificha kwenye mahandaki Chato.
Lakini aliyekuwa CAG hapo jana amehojiwa na kukiri kuwa kulikuwa hakuna ubadhirifu bali kulikuwa na mapungufu ya taarifa za mahesabu.
Wazandiki wa CCM wanazidi kuumbuliwa.
Wewe hata usiongee, chawa mchafu, jingakabisaMimi ni mtu wa JPM kwani naheshimu anachokifanya. JPM hakuwa malaika alikuwa binadamu kama mimi na wewe.
Media za bongo zimejaa fitina na chuki, wanaweza kukuharibia maisha yako yote kwa ujira usiozidi hata tshs 100,000.
Nyinyi mnaowatengenezea watu chuki humu ndani jina lenu ni lipi?.Wewe hata usiongee, chawa mchafu, jingakabisa
Hakuna mmamilifu ndiyo lakini kunawengine mapungufu yao yanakuwa mengi sanaInategemea na mtu binafsi. Kuna watu wanatajirika muda huu wakati wewe ukihesabu mabaya ya Samia.
Kuna watu awamu ya tano walitajirika vibaya mno wakati wengine wakihesabu lawama kwa mheshimiwa JPM.
Hakuna rais mkamilifu, inategemea ukakamavu au uvivu wako mwenyewe.
Hivi mtu mwenye mawazo kama hayo, nini unawaza kumsaidia! Ndege zilinunuliwa unajua toka hela zipi? Ni bora ninyamaze tu.Asifuye mvua imenyea. Magufuli alikuwa mwizi tu kama mwizi yeyote wa CCM. Uwizi siyo kwenda benki na kuvunja kisha unakimbia na hela. Bali Magufuli alifanya miamala ambayo haikufuata sheria kama ifuatavyo:-
1.Kununua ndege za Boeing bila kufuata mdumo wa zabuni kama Public Procurement Act inavyotaka
2.Kutoa tenda za Arab Contractors na Yap Merkezi bila zabuni
3.Kufanya Plea barganing magumashi na watuhumiwa akimshirikishabBiswalo Mganga aliyekuwa DPP
4.Kumpa Manyanga Construction kazi za ujenzi za barabara za Chato na Chato Airport. Kumbuka Manyanga alikuwa ameoa dada wa Janet Magufuli
Hakuwa msukuma,mrundi hawezi kuwa na kiburi cha kisukumaMAGUFULI hakuwa na uwezo wa kuiba matrillion ya hela. Hata billion kwake ilikuwa kubwa. Nilimfahamu tangu tunasoma shule wote. Alikuwa na kiburi cha kisukuma, alidharau huo upuuzi
Inasikitisha sana. Mrundi ni Dr Mpango si JPM bwasheeHakuwa msukuma,mrundi hawezi kuwa na kiburi cha kisukuma
JPM,mpango hawezi kuwa mrundi labda mkongo,jina mpango ni la kongoInasikitisha sana. Mrundi ni Dr Mpango si JPM bwashee
Tunafahamu hata ndugu zake walio Burundi. Acha kujiingiza katika vitu usivyojuaJPM,mpango hawezi kuwa mrundi labda mkongo,jina mpango ni la kongo
Ni kwa akili yako ndogo ambayo haioni, ila wenye akili wanajuwa Magufuli alikuwa fisadi sawa na mafisadi wengine wa CCM.Sijaona ufisadi zaidi ya maneno tu mlivyokuamnachukia Magufuli sasa hivi mgekua mmeanika kila kitu hizi tuuma tu ambazo hazina ushaidi
Nyamaza kwa vile wewe ni mbumbumbu kwenye Public Procurement Act na Finance Act.Hivi mtu mwenye mawazo kama hayo, nini unawaza kumsaidia! Ndege zilinunuliwa unajua toka hela zipi? Ni bora ninyamaze tu.
Unachekesha wakati wenzako tulishakuwa Afisa MasuhuriNyamaza kwa vile wewe ni mbumbumbu kwenye Public Procurement Act na Finance Act.
Sasa CAG wa wakati huo kaongea,maana angekuwa Magu mngesema anatishwa Magu hayupo. Hizo nyingine story kama story nyingine,labda uwe ushahidi husio na shaka.Unajua kampuni ya mayanga construction?
Unamjua huyo mtu anayeitwa mayanga?
Unajua hiyo kampuni ilivyopandishwa madaraja haraka mpaka kupata daraja A Ili ipewe tenda kubwa za kujenga barabara nk?
Unajua kwamba ndo iliyojenga karibu barabara zote kubwa Kanda ya ziwa kipindi Cha magu?
Chato airport na mwanza kajenga mayanga fuatilia. Usiweweseke
Unajua commission anayoipata mtu anayepeleka mteja kiwandani kununua ndege? Zile mlizokuwa mnapokea pale airport? Mkishangilia kwa shangwe kama mazuZu?
Unajua kwenye ndege 11 magufuli aliupata commission shilingi ngapi kwa midege yote 11.
Unajua pesa alikuwa anapokea nani Ili jamaa aonekane msafi? Ni mayanga huyu ndiyo aliyekuwa anakaa na kujua siri za magufuli.
Magufuli alivyokuwa mjinga hajawahi kuwambia watoto wake mzigo ulipo.
Alipodondoka jamaa kasikilozia hamna aliyemfuata. Akapeleka kaubani kake kidogo akakausha.
Fuatilia hili Ili usitupigie makelele.
Ile hoteli ya five star pale chato ni mali ya magufuli
Alikuwa jambazi mkali na katilo tu kama wengine
Jumlisha na uwanja wa ndege wa Chato ambao sasa hivi unaanikiwa mpungaUnajua kampuni ya mayanga construction?
Unamjua huyo mtu anayeitwa mayanga?
Unajua hiyo kampuni ilivyopandishwa madaraja haraka mpaka kupata daraja A Ili ipewe tenda kubwa za kujenga barabara nk?
Unajua kwamba ndo iliyojenga karibu barabara zote kubwa Kanda ya ziwa kipindi Cha magu?
Chato airport na mwanza kajenga mayanga fuatilia. Usiweweseke
Unajua commission anayoipata mtu anayepeleka mteja kiwandani kununua ndege? Zile mlizokuwa mnapokea pale airport? Mkishangilia kwa shangwe kama mazuZu?
Unajua kwenye ndege 11 magufuli aliupata commission shilingi ngapi kwa midege yote 11.
Unajua pesa alikuwa anapokea nani Ili jamaa aonekane msafi? Ni mayanga huyu ndiyo aliyekuwa anakaa na kujua siri za magufuli.
Magufuli alivyokuwa mjinga hajawahi kuwambia watoto wake mzigo ulipo.
Alipodondoka jamaa kasikilozia hamna aliyemfuata. Akapeleka kaubani kake kidogo akakausha.
Fuatilia hili Ili usitupigie makelele.
Ile hoteli ya five star pale chato ni mali ya magufuli
Alikuwa jambazi mkali na katilo tu kama wengine
Unajua kampuni ya mayanga construction?

Unaweza kuweka proof? Maana Lugumi enzi ya Magu alikuwa na hali mbaya na tuhuma yake Magu alishawahi kuizungumzia.Assad aliweka wazi kwamba Lugumi aliyefanya biashara na JPM hakuwa na hesabu safi, JPM akaona katukanwa ndio akamfukuza kazi Assad.
Hata hii habari ya Mama Kizigha kuchafuliwa, ni kwa sababu media zetu zinatumwa na kina Lugumi ili wamchafue huyo Mama aonekane ni fisadi.
Waandishi wa habari wengi wao mbinguni wataishia kupasikia tu.