Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 6,406
- 9,830
Hizo ni hisia zako tu kiukweli magufuli sikuwa namkubali kabisa na simkubali tu ila kuhusu ishu ya kuiba pesa hiyo sio kweli kabisa.... Kuna bosi wangu mmoja aliwahi kugumiana nae kwenye anga zake wakati ni waziri mzee alitema mshindo mrefu mno nadhani alikuwa mjamaaa mnoUnajua kampuni ya mayanga construction?
Unamjua huyo mtu anayeitwa mayanga?
Unajua hiyo kampuni ilivyopandishwa madaraja haraka mpaka kupata daraja A Ili ipewe tenda kubwa za kujenga barabara nk?
Unajua kwamba ndo iliyojenga karibu barabara zote kubwa Kanda ya ziwa kipindi Cha magu?
Chato airport na mwanza kajenga mayanga fuatilia. Usiweweseke
Unajua commission anayoipata mtu anayepeleka mteja kiwandani kununua ndege? Zile mlizokuwa mnapokea pale airport? Mkishangilia kwa shangwe kama mazuZu?
Unajua kwenye ndege 11 magufuli aliupata commission shilingi ngapi kwa midege yote 11.
Unajua pesa alikuwa anapokea nani Ili jamaa aonekane msafi? Ni mayanga huyu ndiyo aliyekuwa anakaa na kujua siri za magufuli.
Magufuli alivyokuwa mjinga hajawahi kuwambia watoto wake mzigo ulipo.
Alipodondoka jamaa kasikilozia hamna aliyemfuata. Akapeleka kaubani kake kidogo akakausha.
Fuatilia hili Ili usitupigie makelele.
Ile hoteli ya five star pale chato ni mali ya magufuli
Alikuwa jambazi mkali na katilo tu kama wengine