Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Akili yako wewe imefanana sana na ya hayati JPM, mnabishana na sayansi!!.Sio kirahisi kama ulivyoandika, Kifo cha JPM kitajulikana ukweli wake iwe leo ama kesho ila Ukweli utajulikana na walioshiriki kama wapo watakula matunda ya kazi waliyoifanya.
Kama ni kazi ya MUNGU basi tutakua tumejua na kumshukuru Mungu na kuendelea na Mengine.
Afe Kipa Afe Beki huu ukweli utafichuka siku 1.
Aliambiwa usiende Dar ukachanganyika na watu akaleta ubishi, pia alikejeli matumizi ya barakoa.
Ofisi ya Rais kwa maana ya wasaidizi wake wa karibu wote waliaga dunia kipindi kile.
Kijazi RIP
Magufuli mwenyewe RIP
Na wengine kama wawili waliaga dunia.
Ule ulikuwa wakati wa hatari sana kwa kiongozi mwenye kusumbuliwa na moyo kujichanganya mbele za watu.