Prof Assad amewaumbua vibaraka wa mafisadi wa CCM ambao walimsingizia hayati JPM kukwapua tril 1.5

Kwaio Chato Beach Resort ni five star hotel???
 
Assad aliweka wazi kwamba Lugumi aliyefanya biashara na JPM hakuwa na hesabu safi, JPM akaona katukanwa ndio akamfukuza kazi Assad.

Hata hii habari ya Mama Kizigha kuchafuliwa, ni kwa sababu media zetu zinatumwa na kina Lugumi ili wamchafue huyo Mama aonekane ni fisadi.

Waandishi wa habari wengi wao mbinguni wataishia kupasikia tu.
 
Mlivyokua na chuki na Magufuli taarifa zote zingekua nje
Mimi ni mtu wa JPM kwani naheshimu anachokifanya. JPM hakuwa malaika alikuwa binadamu kama mimi na wewe.

Media za bongo zimejaa fitina na chuki, wanaweza kukuharibia maisha yako yote kwa ujira usiozidi hata tshs 100,000.
 
ni muhimu sana hekima imuelekeze hiyo Mzee kujiheshimu, licha ya kwamba ana kinyongo mno moyoni ambao kwa kiasi kikubwa kimesababishwa na uoga na unafiki wake mwenyewe.

akae kimya tu,
porojo zake haziwezi kubadili chochote 🐒
 
Hakuna mmamilifu ndiyo lakini kunawengine mapungufu yao yanakuwa mengi sana
 
Hivi mtu mwenye mawazo kama hayo, nini unawaza kumsaidia! Ndege zilinunuliwa unajua toka hela zipi? Ni bora ninyamaze tu.
 
MAGUFULI hakuwa na uwezo wa kuiba matrillion ya hela. Hata billion kwake ilikuwa kubwa. Nilimfahamu tangu tunasoma shule wote. Alikuwa na kiburi cha kisukuma, alidharau huo upuuzi
Hakuwa msukuma,mrundi hawezi kuwa na kiburi cha kisukuma
 
Sijaona ufisadi zaidi ya maneno tu mlivyokuamnachukia Magufuli sasa hivi mgekua mmeanika kila kitu hizi tuuma tu ambazo hazina ushaidi
Ni kwa akili yako ndogo ambayo haioni, ila wenye akili wanajuwa Magufuli alikuwa fisadi sawa na mafisadi wengine wa CCM.

TOFAUTI yake na wengine ni kwamba yeye alikuwa anaiba na kikundi cha marafiki zake wachache
 
Hivi mtu mwenye mawazo kama hayo, nini unawaza kumsaidia! Ndege zilinunuliwa unajua toka hela zipi? Ni bora ninyamaze tu.
Nyamaza kwa vile wewe ni mbumbumbu kwenye Public Procurement Act na Finance Act.
 
Sasa CAG wa wakati huo kaongea,maana angekuwa Magu mngesema anatishwa Magu hayupo. Hizo nyingine story kama story nyingine,labda uwe ushahidi husio na shaka.
 
Jumlisha na uwanja wa ndege wa Chato ambao sasa hivi unaanikiwa mpunga
 

kila mwanasiasa ana mayanga wake... tuwe wapole..
anayemwamini mwanasiasa ujue kalaaniwa..
 
Unaweza kuweka proof? Maana Lugumi enzi ya Magu alikuwa na hali mbaya na tuhuma yake Magu alishawahi kuizungumzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…