Prof Assad amewaumbua vibaraka wa mafisadi wa CCM ambao walimsingizia hayati JPM kukwapua tril 1.5

Hizo ni hisia zako tu kiukweli magufuli sikuwa namkubali kabisa na simkubali tu ila kuhusu ishu ya kuiba pesa hiyo sio kweli kabisa.... Kuna bosi wangu mmoja aliwahi kugumiana nae kwenye anga zake wakati ni waziri mzee alitema mshindo mrefu mno nadhani alikuwa mjamaaa mno
 
Mkuu Acha porojo , magufuli kaiba fedha zipi ikiwa miaka sita ya yeye madarkani deni la taifa alilokopa haikufika trillion 10, huyu mama ndani ya miaka sita kakopa mara nusu ya deni la Marais wa Toka uhuru hadi yeye.

Cha kushangaza hakuna alichofanya,kwa taarifa tu yeye kakopa trilion 60 bila kuonesha zimefanya nini,huyu ni mwizi kuliko Marais wa awamu zote kabla ya yeye.

Na ndo muuaji kuliko Marais wa awamu zote
 
Sio kirahisi kama ulivyoandika, Kifo cha JPM kitajulikana ukweli wake iwe leo ama kesho ila Ukweli utajulikana na walioshiriki kama wapo watakula matunda ya kazi waliyoifanya.

Kama ni kazi ya MUNGU basi tutakua tumejua na kumshukuru Mungu na kuendelea na Mengine.

Afe Kipa Afe Beki huu ukweli utafichuka siku 1.
 
GUiness wamtambue wampe HESHIMA yake katika hili akae vizuri kwenye Records.
 
Umeelewa nilichokiandika lakini?
 
kwa nini ajitetee wakati umeambiwa pesa haikupotea bali kulikjuwa na upungufu wa taarfa za kimahesabu,hoja yako ingekuwa na maana kama CAG angeseme kweli pesa iliibiwa..
 
Huyo Mayanga sasa hivi yuko wapi? Jela?
 
Huyo Mayanga sasa hivi yuko wapi? Jela?
Mayanga hayupo jela . Nahisi atakuwa nje ya nchi. Ana ulinzi mkali kushinda waziri.
Ni ngumu sana kuiamini hii stori kutokana na matehemu alivyokuwa anaji pretend
 
Kila mwenye akili timamu anajua MAGUFULI hakuwa mtu wa kufuata UTARATIBU.

Ndio maana hata hiyo Trilioni 1.5 CAG hakuiona kwenye VITABU.
 
Mayanga hayupo jela . Nahisi atakuwa nje ya nchi. Ana ulinzi mkali kushinda waziri.
Ni ngumu sana kuiamini hii stori kutokana na matehemu alivyokuwa anaji pretend
Mayanga hayupo jela . Nahisi atakuwa nje ya nchi. Ana ulinzi mkali kushinda waziri.
Ni ngumu sana kuiamini hii stori kutokana na matehemu alivyokuwa anaji pretend
Ushahidi wote huo na mnavyomchukia late JPM msingemuachq. Mmesumbua watu wengi sana baada ya Magu kufariki ndio mumuache huyo ambae mna ushahidi ndio alikuwa anaiba nae.
Ipo siku ukweli utawekwa wazi. Tuonbe uzima.
 
Hujaelewa.
Tafuta kampuni iliyojenga chato airport na mwanza
Tafuta aliyejenga barabara nyingi Kanda ya ziwa miaka Ile.
Tafuta commission kutoka kwa watengeneza ndege
Usibishe Kila kitu hasa kama huna facts. Kwa taarifa tu ni kwamba magufuli alikuwa binadamu kama wewe
 
Nakwambia hivi huu ushahidi wote inakuwaje huyo mtu hayuko jela? Na chuki mlionayo kwanini mmemuacha?
 
Kufa ni wajibu lakini Magufuli alikufa kizembe. Anaambiwa vaa barakoa anabisha, dunga chanjo anabisha. Kikowapi sasa COVID 19 ikapita naye.

Halafu mlikuwa mnamuita mungu, akadhani hatakufa!! Kuna mahali alikuwa anasema "nikifa mimi nani atajenga miundombinu?".

Mungu wa ukweli akamuonyesha kazi, akamtupa jehanam na miundombinu inajengwa kama kawa na kwa spidi na amani kuliko wakati wake
 
JPM alizidiwa na kiburi akajisahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…