Prof Assad amewaumbua vibaraka wa mafisadi wa CCM ambao walimsingizia hayati JPM kukwapua tril 1.5

Akili yako wewe imefanana sana na ya hayati JPM, mnabishana na sayansi!!.

Aliambiwa usiende Dar ukachanganyika na watu akaleta ubishi, pia alikejeli matumizi ya barakoa.

Ofisi ya Rais kwa maana ya wasaidizi wake wa karibu wote waliaga dunia kipindi kile.

Kijazi RIP
Magufuli mwenyewe RIP
Na wengine kama wawili waliaga dunia.

Ule ulikuwa wakati wa hatari sana kwa kiongozi mwenye kusumbuliwa na moyo kujichanganya mbele za watu.
 
Acha wivu wa kijinga..kwani uyo mayanga ni mchina ama muhindi???ulitaka wapewe wageni hili hela ziende nje ya nchi...shida ya mtu mweusi ni wivu tuuu...ingekuwa ni mchina am muhindi kapewa ungeongea?? usiharishe km bata.Penda maendeleo ya watu wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…