Prof. Assad: Ni wajinga tu ndio wanaonunua ndege kwa cash

Tutawapa nyie mataga msafirie nazo kwenda chato taifa liachane na biashara kichaa
Twende tu ula ifafika wakati tutaanza kuukizia zile ndege zetu alizotuachia Magufuli zote zimeuzwa na mafisadi. Hapo ndo tutataka kujua kati ya Mshamba na ao wenyewe elimu kubwa waliostarabika nani alikuwa na Maarifa?
 
Hivi unafikiri Assad ukimpa Nchi ndo hakutokuwa na watu wanapiga hizo hela chini? Unafikiri ndo ataweka mikataba wazi? Unafikiri atafanya nini ili kuifikia ata China mnayosema mlikuwa sawa kwenye miaka 60?

Leo mnatamani kuzifikia China kiuchumi..!! Utaweza wewe mlalamishi kufunga mikanda kama waliyofunga China mpaka wakafikia maendeleo ayo? Au unadhani EROUPE imejengajwe? Au America imejengajwe? Kaa chini tuliza tako we unaendhani wenzetu walijenga nchi zao kwa kidai mishahara sijui na upupu wenu mnaona una faida kwa sana kuliko kuzijenga nchi zao.
 
Ndege zisizo za keshi ndizo huingiza faida??
Hajamaanisha faida au hasara ya biashara ya ndege.
Ameongelea taratibu sahihi za uwekezaji katika biashara ya ndege duniani kote.
 
Mzee alikuwa na mengi sn moyoni lakini alishindwa kusema ukweli
 
Anaweza asiwe mjinga bali ni katika kutimiza msemo wa "Chukua Chako Mpema".
 
Nawaza isakwe akaunti yake labda uganda, rwanda au hata zimbabwe ela zirudishwr ziwafae watanzania, lazima uyu msukuma ameficha madola somewhere
 
Ndege hatukopi (Borrowing, Lending) ila tunafanya mkataba wa matumizi (Aircraft Leasing).
 
We naye acha kukariri uchumi hauna formula moja.... Mfano hapo hapo china kuna eneo linaitwa Macau uchumi wake umekua na kupaa sababu ya gaming industry yaani watu wanakula bata sana na kucheza kamari kutoka kote duniani hadi uchumi unapaa.

Kuna nchi uchumi umepaa sababu ya utalii tu, wengine mpaka industry ya ngono imekuza uchumi, kuna nchi remittances tu zinakuza Balance of payment kuliko hta mauzo ya bidhaa zingine.

Tanzania uchumi ulikua 7 percent na haukuwahi kushuka muda wote wa JK ila kwani mishahara haikupanda? Kulikua hakuna ufisadi? Tulifunga mikanda?
 
Ni kweli kabisa mwenda zak alikua mjinga sana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…