Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,631
- 3,527
Exactly Brother.!Mpigania haki/Uhuru wa kweli hujitokeza hadharani na kumwonesha mgandamizaji wa haki/ Uhuru bila hofu yoyote ili nae atambue Yale ambayo hayakubaliki kwa watu wake.
#His legacy will never die no matter what.
Walikuwa waoga kusema ukweli, sasa wamekuja kusema ukweli huo ukweli wanamwambia nani?
Hakuna dhambi mbaya kama kumsema mtu asiyekuwepo hata kama yu Hai.
Kama hivyo ndivyo walikuwa wapi kushauri kuondolewa kwa usiri wa kiapo ili kila kitu kiwe wazi kwa wananchi?