sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Karibia kila nchi duniani inazo ndege zake ni nchi chache sana zenye makampuni binafsi na hizo nchi zenye kampuni binafsi wanaufanya usafiri wa ndege kuwa ni kitu cha anasa kweli.Kwasasa sababu ya korona ni kama vile kila shirika la ndege duniani linalia biashara ni mbaya.
Lakin hata kabla ya korona niliona biashara hii tunatumbukiza hela ambako siko. Kwa kujipanga kupi kuliko fanyika? Biashara ya kuendesha kisiasa Na mabavu? Wewe mkuu unafikiri mashirika yetu makubwa ufanisi ni mdogo Na mengine yalikufa kwasababu zipi? Hamna wateja?