Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Kutumbuliwa bila kufwata sheriaIla ana roho fulani ya ubinafsi ilitakiwa akae atulie hii ya kulia lia katika media inamtia doa kwa kujiona yeye ni bora zaidi ya wengine.
Na hii inaleta tafasri ya kwamba aliumia mno kutumbuliwa [emoji28]
Aliyeulizwa juu ya hiyo tl 1.5 ikulu ni Dotto James ndugu. Assad alikuwa akilalamika kwa uwazi kabisa juu ya binge kupitisha bajeti halafu Magufuli kuingilia na kupanga tena anavyotaka yeye. Na mojawapo ikiwepo kipunguzwa kwa bajeti ya ofisi yake ikiwemo kuondolewa posho ya HIV positives kwenye ofisi yake.Profesa Assad hakuwai kumkosoa Magufuli akiwa hai... nakumbuke pale ikulu aliulizwa kuhusu trilion 1.5 alisema kuwa hakuna iliyopotea.... baadae ndio akaanza kuogombana na bunge........na akaondolewa.... Assad hajawai kupambana na Magu hata siku moja ... Assad kaanza kusema baada ya Magufuli kufariki... mtu pekee aliyekuwa na uwezo wa kuongea Magu akiwa hai ni Tundu Lissu tuu
mamereta escrow etc mbona hakuhoji?Assad alihoji 1.5trl, hilo lilisababisha mtukufu jiwe akasirike na kumtumbua nje ya utaratibu, hayo mengine ya kujiabudu ni maoni yako chief [emoji23]
Kwani baada ya 17.03 nchi imesimama?Analazimisha kuonekana ni mtu msomi anaejielewa ana misimamo.
Bahati mbaya alikutana na Chuma.
Nilichokuwa nampendea yule baba JPM ukijifanya wewe ni wa muhimu sana kwenye hii nchi yeye anakuonesha namna ulivyo takataka tu na nchi inaweza kwenda mbele bila wewe hahahah.
Profesa uliondolewa na kidume sasa unalialia nini!!?
Uzuri yeye alijifanya muhimu zaidi katangulia na kawaacha alio waona taka taka.Analazimisha kuonekana ni mtu msomi anaejielewa ana misimamo.
Bahati mbaya alikutana na Chuma.
Nilichokuwa nampendea yule baba JPM ukijifanya wewe ni wa muhimu sana kwenye hii nchi yeye anakuonesha namna ulivyo takataka tu na nchi inaweza kwenda mbele bila wewe hahahah.
Profesa uliondolewa na kidume sasa unalialia nini!!?
🤣🤣🤣🤣🤣 takataka zimebakiUzuri yeye alijifanya muhimu zaidi katangulia na kawaacha alio waona taka taka.
Kifo banaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787],aliinua pembeeeeee
Kinatisha na hakiepukiki
Labda anaongoza malaika kama alivyo kua akatambaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo kidume yuko wapi sasa [emoji28]..tumuone mahali alipo akitoa amri
Cc mwendazakeNiliondolewa Ofisini kinyume na taratibu kwa sababu nilikuwa nasimamia na kufanya kazi kwa kufuata taratibu na miongozo ya kazi na sio maelekezo ya mtu,kuna mahali viongozi wetu wanashindwa kusimamia wanachokiamini kwa hofu ya kuporwa V8, wanahofu kukosa riziki.
Hili suala la kuniita CAG aliyemaliza muda wake binafsi linaniudhi, katiba ibara ya 144 inatamka wazi muda wa kumaliza na sababu za kukoma kuwa CAG, mimi nilipotolewa ofisini sikuwa nimemaliza muda wangu. Nadhani hatukuwa wazuri katika kusimamia katiba.
Mussa si jina langu, jina alilonipa baba yangu ni Jaffar. Wakati nasoma kulitokea matatizo fulani, ikabidi nitoke sehemu moja kwenda nyingine ili kumaliza masomo na hili jina la Mussa nikalipata huko ila watu wanaonifahamu wananijua kama Jaffar- Profesa Mussa Assad, CAG wa zamani.
Ni kweli mkuu kwa sababu aliyepo ni zao la Jiwe aliletwa kwa ajili ya kuficha uovuHiki chuma inabidi mama akirudishe tu ofisini, na apeleke bungeni muswada wa dharura wa kubadili kipengele cha katiba kinacho mzuia kuajiriwa na gov.
Tanzania yetu na mambo yake.Niliondolewa Ofisini kinyume na taratibu kwa sababu nilikuwa nasimamia na kufanya kazi kwa kufuata taratibu na miongozo ya kazi na sio maelekezo ya mtu,kuna mahali viongozi wetu wanashindwa kusimamia wanachokiamini kwa hofu ya kuporwa V8, wanahofu kukosa riziki.
Hili suala la kuniita CAG aliyemaliza muda wake binafsi linaniudhi, katiba ibara ya 144 inatamka wazi muda wa kumaliza na sababu za kukoma kuwa CAG, mimi nilipotolewa ofisini sikuwa nimemaliza muda wangu. Nadhani hatukuwa wazuri katika kusimamia katiba.
Mussa si jina langu, jina alilonipa baba yangu ni Jaffar. Wakati nasoma kulitokea matatizo fulani, ikabidi nitoke sehemu moja kwenda nyingine ili kumaliza masomo na hili jina la Mussa nikalipata huko ila watu wanaonifahamu wananijua kama Jaffar- Profesa Mussa Assad, CAG wa zamani.
KumbeeeNi kweli mkuu kwa sababu aliyepo ni zao la Jiwe aliletwa kwa ajili ya kuficha uovu
Wewe utakuwa umeanza kufatilia siasa juzi... waulize watu humu Assad aliulizwa mbele ya Rais .....kuhusu hizo trillion 1.5 akasema kabisa hakuna zilizopotea tena hadharani ....labda useme alishikwa uoga lakini ukweli ni kwamba Assad hakuwai kupamba na Magufuli hata mara moja.... Assad alipambana na Ndugai tuuu lakini si Magufuli na wala asingelithubutu.... Tanzania kulikuwa na wanaume wawili tuu Lissu na Magufuli... wengine wameibuka baada ya Magu kufa akiwemo huyo Assad...Aliyeulizwa juu ya hiyo tl 1.5 ikulu ni Dotto James ndugu. Assad alikuwa akilalamika kwa uwazi kabisa juu ya binge kupitisha bajeti halafu Magufuli kuingilia na kupanga tena anavyotaka yeye. Na mojawapo ikiwepo kipunguzwa kwa bajeti ya ofisi yake ikiwemo kuondolewa posho ya HIV positives kwenye ofisi yake.