Prof. Assad: Niliondolewa kazini kinyume na taratibu kwasababu nilikuwa sifuati maelekezo ya Mtu

Prof. Assad: Niliondolewa kazini kinyume na taratibu kwasababu nilikuwa sifuati maelekezo ya Mtu

Ila ana roho fulani ya ubinafsi ilitakiwa akae atulie hii ya kulia lia katika media inamtia doa kwa kujiona yeye ni bora zaidi ya wengine.

Na hii inaleta tafasri ya kwamba aliumia mno kutumbuliwa [emoji28]
Kutumbuliwa bila kufwata sheria
 
Profesa Assad hakuwai kumkosoa Magufuli akiwa hai... nakumbuke pale ikulu aliulizwa kuhusu trilion 1.5 alisema kuwa hakuna iliyopotea.... baadae ndio akaanza kuogombana na bunge........na akaondolewa.... Assad hajawai kupambana na Magu hata siku moja ... Assad kaanza kusema baada ya Magufuli kufariki... mtu pekee aliyekuwa na uwezo wa kuongea Magu akiwa hai ni Tundu Lissu tuu
Aliyeulizwa juu ya hiyo tl 1.5 ikulu ni Dotto James ndugu. Assad alikuwa akilalamika kwa uwazi kabisa juu ya binge kupitisha bajeti halafu Magufuli kuingilia na kupanga tena anavyotaka yeye. Na mojawapo ikiwepo kipunguzwa kwa bajeti ya ofisi yake ikiwemo kuondolewa posho ya HIV positives kwenye ofisi yake.
 
si kila mmoja anaweza kua shujaa, wengine acha tuchumie tumbo kuleta uwiano au sio wajomba?
 
Mpuuzi sana huyu mzee, mtu ayepambana nae hayuko, Mungu kamchukua, alafu kumbe jina sio lake la Musa.. Hii ni tatizo, asema Musa wa kweli yuko wapi? Kuna kitu hapa kaficha
 
Analazimisha kuonekana ni mtu msomi anaejielewa ana misimamo.

Bahati mbaya alikutana na Chuma.

Nilichokuwa nampendea yule baba JPM ukijifanya wewe ni wa muhimu sana kwenye hii nchi yeye anakuonesha namna ulivyo takataka tu na nchi inaweza kwenda mbele bila wewe hahahah.

Profesa uliondolewa na kidume sasa unalialia nini!!?
Kwani baada ya 17.03 nchi imesimama?

Hii nchi haina mwenye hatimiliki yake, wote tutapita lakini nchi yetu itabaki na itaendekea kuwepo
 
huyu nae atulie sasa don't talk to much ameshajenga heshima yake inatosha sasa anakuwa Kama manara bhana let it go asonge mbele sasa
 
Kuna watu humu inaelekea wamemchukia kwa ajili ya jina tu?
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Hiki chuma kilikua level nyingine
 
Analazimisha kuonekana ni mtu msomi anaejielewa ana misimamo.

Bahati mbaya alikutana na Chuma.

Nilichokuwa nampendea yule baba JPM ukijifanya wewe ni wa muhimu sana kwenye hii nchi yeye anakuonesha namna ulivyo takataka tu na nchi inaweza kwenda mbele bila wewe hahahah.

Profesa uliondolewa na kidume sasa unalialia nini!!?
Uzuri yeye alijifanya muhimu zaidi katangulia na kawaacha alio waona taka taka.

Kifo banaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787],aliinua pembeeeeee
 
Kah! Huyu prof. alipenda UCAG aisee. Bado analia hadi leo? Aache tamaa ya madaraka.
 
Niliondolewa Ofisini kinyume na taratibu kwa sababu nilikuwa nasimamia na kufanya kazi kwa kufuata taratibu na miongozo ya kazi na sio maelekezo ya mtu,kuna mahali viongozi wetu wanashindwa kusimamia wanachokiamini kwa hofu ya kuporwa V8, wanahofu kukosa riziki.

Hili suala la kuniita CAG aliyemaliza muda wake binafsi linaniudhi, katiba ibara ya 144 inatamka wazi muda wa kumaliza na sababu za kukoma kuwa CAG, mimi nilipotolewa ofisini sikuwa nimemaliza muda wangu. Nadhani hatukuwa wazuri katika kusimamia katiba.

Mussa si jina langu, jina alilonipa baba yangu ni Jaffar. Wakati nasoma kulitokea matatizo fulani, ikabidi nitoke sehemu moja kwenda nyingine ili kumaliza masomo na hili jina la Mussa nikalipata huko ila watu wanaonifahamu wananijua kama Jaffar- Profesa Mussa Assad, CAG wa zamani.
Cc mwendazake
 
Tanzania yetu na mambo yake.
 
Aliyeulizwa juu ya hiyo tl 1.5 ikulu ni Dotto James ndugu. Assad alikuwa akilalamika kwa uwazi kabisa juu ya binge kupitisha bajeti halafu Magufuli kuingilia na kupanga tena anavyotaka yeye. Na mojawapo ikiwepo kipunguzwa kwa bajeti ya ofisi yake ikiwemo kuondolewa posho ya HIV positives kwenye ofisi yake.
Wewe utakuwa umeanza kufatilia siasa juzi... waulize watu humu Assad aliulizwa mbele ya Rais .....kuhusu hizo trillion 1.5 akasema kabisa hakuna zilizopotea tena hadharani ....labda useme alishikwa uoga lakini ukweli ni kwamba Assad hakuwai kupamba na Magufuli hata mara moja.... Assad alipambana na Ndugai tuuu lakini si Magufuli na wala asingelithubutu.... Tanzania kulikuwa na wanaume wawili tuu Lissu na Magufuli... wengine wameibuka baada ya Magu kufa akiwemo huyo Assad...
 
Back
Top Bottom