Kwakua Assad nae atakufa, maana yake ni kwamba kila sehemu atamkuta ni imara zaidi yake. Hapa duniani hakuwa chochote mbele ya JPM na hata huko kuzimu atakuwa mgeni mbele ya JPM.Na Mwamba Assad Yuko zake mjini anadunda tu huku aliyempiga fitina sijui ye Yuko wapi SA hivi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Na inaenda hata bila huyo Assad,hivyo akae kimya watu wapige kazi.Kwani hata sasa nchi si inakwenda bila ya yule aliyemuondoa?
Unaweza ukawa kimada wake kwa kuwa umezichuma za kutosha kutoka kwake basi unajua mzee hana fedha pole yako kwa kuuza utu wako kwa vipande vya fedha.Wewe ni mke wake? Kama sio, unathibitishaje utajiri wake??
Hahah mwamba yuko mjini anatamba tu aliyejifanya mbabe sijui hata yuko wapi Siku hizi,simsikii sana habari zake teh teh.
Then kidume kikadondoshwa na corona.Analazimisha kuonekana ni mtu msomi anaejielewa ana misimamo.
Bahati mbaya alikutana na Chuma.
Nilichokuwa nampendea yule baba JPM ukijifanya wewe ni wa muhimu sana kwenye hii nchi yeye anakuonesha namna ulivyo takataka tu na nchi inaweza kwenda mbele bila wewe hahahah.
Profesa uliondolewa na kidume sasa unalialia nini!!?
Umepanick mkuu😂. Wewe ndo uliyesema kuwa unajua jamaa ni tahiti sana ila anapanda Uber kwakua hapendi show off.Unaweza ukawa kimada wake kwa kuwa umezichuma za kutosha kutoka kwake basi unajua mzee hana fedha pole yako kwa kuuza utu wako kwa vipande vya fedha.
Haya ndiyo maisha ya mtu mwenye haki. Ni rahisi, ya amani na furaha maana anakuwa hana hofu kwa kuwa hajadhulumu wala kuibia mtu yeyote....This man is a genious aise, halafu ana maisha simple sana kuna kipindi nilipishana nae pale millenium tower akisubiri usafiri wa Uber.
Hahha huwenda ukawa wa kike pia maana huku wote ni anonymous, kawaida sana hiyoUmepanick mkuu😂. Wewe ndo uliyesema kuwa unajua jamaa ni tahiti sana ila anapanda Uber kwakua hapendi show off.
Mimi sikuwa na nia mbaya nilipotaka kujua kama wewe ni mke wake, maana hapa jF wote ni anonymous huenda wewe ni wa kike.
Huyo Kidume wako sasa analiwa mishikaki na funzaAnalazimisha kuonekana ni mtu msomi anaejielewa ana misimamo.
Bahati mbaya alikutana na Chuma.
Nilichokuwa nampendea yule baba JPM ukijifanya wewe ni wa muhimu sana kwenye hii nchi yeye anakuonesha namna ulivyo takataka tu na nchi inaweza kwenda mbele bila wewe hahahah.
Profesa uliondolewa na kidume sasa unalialia nini!!?
So what? Ujinga mtupuThis man is a genious aise, halafu ana maisha simple sana kuna kipindi nilipishana nae pale millenium tower akisubiri usafiri wa Uber.
Eti,hapa ndo anadhihirisha upunguani wake! Kila siku analialia kumbe anapenda cheo mpuuzi huyu, sasa kama mwanaume si angemjibu Magufuli wakati huo?Analazimisha kuonekana ni mtu msomi anaejielewa ana misimamo.
Bahati mbaya alikutana na Chuma.
Nilichokuwa nampendea yule baba JPM ukijifanya wewe ni wa muhimu sana kwenye hii nchi yeye anakuonesha namna ulivyo takataka tu na nchi inaweza kwenda mbele bila wewe hahahah.
Profesa uliondolewa na kidume sasa unalialia nini!!?
😄😄 Nae Yuko anapambana na hali yake.humsikii habari zake[emoji1787][emoji1787]
ila matokeo yake unayo wewe na assad.
Huyu ni profesa nguli alifanyia fitina na PhD uchwaraProfesa uchwara aliyejifanya mhimili wakati mihimili iko 3 tu.
Ajaribu kugombea urais basi labda timu gaidi watamsajili 2025.
Analazimisha kuonekana ni mtu msomi anaejielewa ana misimamo.
Bahati mbaya alikutana na Chuma.
Nilichokuwa nampendea yule baba JPM ukijifanya wewe ni wa muhimu sana kwenye hii nchi yeye anakuonesha namna ulivyo takataka tu na nchi inaweza kwenda mbele bila wewe hahahah.
Profesa uliondolewa na kidume sasa unalialia nini!!?
Akae kimya, angesema wakati JPM yupo ningemuona kidume.