Prof. Assad: Niliondolewa kazini kinyume na taratibu kwasababu nilikuwa sifuati maelekezo ya Mtu

Professor anasema waliowengi wanabemenda katiba au Sheria au utaratibu kwa kuendekeza njaa na V8. Ujumbe kuntu kwa walengwa na nafsi zao zinawasuta.Kiongozi Mkuu anachagua wasaidizi wampe ushauri wa kitaalam(Professional advice) kutoa ushauri professionally ni udhaifu mkubwa.
 
Katika maeneo aliyochemsha Magu ni kwenye hili.kwa Nini umtoe mtu kisa kasema ukweli 1.5T matumizi hayaonekani!! Hapo ndipo tulipotilia shaka uadilifu wake.
 
kumbe tatizo lilianzia hapa🀣
 

Huyo kidume yuko wapi sasa [emoji28]..tumuone mahali alipo akitoa amri
 
Kwani hata sasa nchi si inakwenda bila ya yule aliyemuondoa?
 
Katika maeneo aliyochemsha Magu ni kwenye hili.kwa Nini umtoe mtu kisa kasema ukweli 1.5T matumizi hayaonekani!! Hapo ndipo tulipotilia shaka uadilifu wake.
Magu alikuwa sahihi kabisa huyu mzee mara agombane na bunge mara achokonoe mambo ya ikulu...sasa naona maumivu ya kupigwa benchi hayajapona.

Hii ni nchi ukitaka uwa outshine wenye mamlaka lazima upigwe na kitu kizito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…