Prof. Assad: Niliondolewa kazini kinyume na taratibu kwasababu nilikuwa sifuati maelekezo ya Mtu

Magu alikuwa sahihi kabisa huyu mzee mara agombane na bunge mara achokonoe mambo ya ikulu...sasa naona maumivu ya kupigwa benchi hayajapona.

Hii ni nchi ukitaka uwa outshine wenye mamlaka lazima upigwe na kitu kizito.
Huyo mungu wenu bandia alikuwa mwizi na mwenye roho chafu, lilikuwa fisadi ndiomaana alikuwa hataki ukweli uwekwe wazi
 
Sitaki kuamini kama hii 'Para' hujamuelewa Prof. Assad.

Hebu itafakuri tena.
 
Lenye kiburi lishaozeana ardhini
 
Hii ya kubadili majina inafikirisha........................

Hayati Dr. Pombe nilitamani sana asingekufa angekuwa hai hata kwenye wheelchair ili ashuhudie alivyoheshimiwa kwa uwoga unzi za kuketi kwake.
 
Assad ni mmojawapo wa wazalendo wachache wasio wachumia tumbo tu waliobaki.
Nahisi haujashirikisha ubongo wako vizuri kabla ya kuandika haya uliyoandika.

Assad anaweza kuwa na mapungufu yake Ila huwezi kumuita mchumia tumbo maana hakuna anachochima kwa kulamba makalio ya wakubwa. Hakuna anayemtuma na hakuna anayemsemea Bali anapenda kujisemea yeye kama mfano kwa yaliyomkuta.

Halipwi na chama chochote kuongea hayo Ila believe me, kwa sisi tunaomfahamu jamaa yupo vizuri sana upstairs na Magufuli aliona jamaa anamkagua na kuweka Mambo yake hadharani ndio maana alimtoa bila kufuata Katiba .
 
Naye ss ameshakuwa takataka aka mbolea
 
Utatukana huku unatumia ndege na flyover kenge wewe
Hakuna hata kimoja hapo kilichofadhiliwa na mtu yeyote bali ni fedha za Watanzania na washirika wetu wa maendeleo hususan Japan(wamechangia zaidi ya 80% ya gharama za ujenzi wa flyover ya tazara tena mkataba wa ujenzi umesainiwa mwezi july 2015) sasa sijui ni nani unayefikiri aliuza ng'ombe zake ndio akajenga flyover na kutununulia ndege Watanzania.
 
Asante CAG kwa kulinda Heshima yako. Aliyetaka kukudhalilisha kasha danja wewe umebaki na heshima yako.
 
Chuma kinakula kutu huko udongo wa chattle
 
Chuma au Kibuyu Tu
 
Matagaaaaa 🎵🎶
Matagaaa wamepaniki🎶
Matagaaaaa
Mataga wamepaniki🎶🎵

Ukweli unawachoma
Tena unawachoma Sana🎶

Naona mmepaniki wazeee taratibu tutaelewana tu siku zote hua nawaambia Mwendawazimu jiwe alikua anasigina katiba mnapaniki kindezi
Haya wapi CAG Assad Musa?
😂😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…