Prof. Assad: Niliondolewa kazini kinyume na taratibu kwasababu nilikuwa sifuati maelekezo ya Mtu

Kwa hiyo ni yale yale ya makonda. Kumbe huyu wapinzani mnamsifia na yeye aliiba jina. Halafu mnajidai kushangaa ya makonda na madilu? 😂. Muhimu nani ndio kasoma sio nani ndio kaenda shule 🤔🤔
 
Aseme nae alifoji cheti na ndo maana ana nyodo sana.
Kazi.iliisha aache wengine nao wafanye,
Kama hakujiandaa basi elimu anayo afungue hata shule afundushe ili aendelee kujipatia kipato.

Wakiwa makazini wanashauri watu watumei akiri zao kujiajili lakini wao hawawezi.
 
Chuma mwenyewe yuko wapi?
Kifupi Mungu ndo hataki wagu wajifananishe nae. Tuishi kwa kuheshimiana sio kulazimisha tuogopane kwa sababu ya mamlaka
 
Tatizo watanzania wengi hawajui Katiba

Nafikiri ni heri ukweli usemwe
Mwendazake aliisigina Katiba waziwazi
 
This man is a genious aise, halafu ana maisha simple sana kuna kipindi nilipishana nae pale millenium tower akisubiri usafiri wa Uber.
Mi nilikutana nae maeneo ya mtendeni kipindi akiwa CAG kasimama pembeni ya fundi anasubiri amshonee koti lake cjui lilitatuka tulibishana na washkaji kama mzee tunaemuona mbele yetu ni CAG au siyo CAG mpaka tukauliza.
 
 

 
wazee wa legacy mnachukia uozo unapowekwa wazi
Pole sana kama unaamini kila anayepinga mambo kadhaa ni mfuasi wa Magufuli basi ni mwendelezo ule ule wa ufuasi wa Kinyumbu. Ungepata muda tu ukapitia threads zangu nyuma ungegundua nilikuwa nampinga Magufuli.

But sikuwa namchukia. Mpaka leo natumia ufahamu huru. Au umesahau Chadema waliokuwa wanamchukia Lowassa ndiyo waliomkaribisha na kumzungusha nchi nzima huku wao wakizungusha mikono?😁

Siasa ni mikakati. Assad angetakiwa ayaongee haya wakati Marehemu yupo. Kuongea haya wakati hayupo kwenye Uislamu ni kuonesha woga na unafiq. Pia asipende sana publicity .... Akue.
 
Hivi hicho kidume kiko wapi muda huu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vyama vya upinzani jichanganyeni tena ...
 
Profesa uchwara aliyejifanya mhimili wakati mihimili iko 3 tu.

Ajaribu kugombea urais basi labda timu gaidi watamsajili 2025.
Ndugu,
Itakuwa vizuri kama utatueleza vizuri lini na wapi, katika utendaji wake, Prof Assad alitoka nje ya majukumu ya CAG na kujifanya muhimili.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe jamaa acha uongo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…