PreGE2025 Prof. Eginald PAN Mihanjo: CCM ijiandae kuwa chama cha upinzani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Umejikanyaga tuu kueleza hata hueleweki unachoongea!
 
Taratibu vuguvugu / movementi linaanza kueleweka na kushika kasi, nami naagiza bia nyingine kwa profesa popote alipo.
Mi nampa wine inaitwa.....Hapa Dodoma lita5!Awe anajipooza Kabla ya kulala, tone tone hiyo!
 
Nimeona Prof. Mihanjo nikashtuka nikajua ni Prof. Mihanjo aliyenifundisha Economic History. Kumbe sio yeye. Huyu nisiyemjua aseme tu kwani ni mawazo yake.
NB: Mimi ni Mtoto wa Shule!
 
Ataitwa mchochezi.
Watu wana kadi na hawata mpigia kura chura kiziwi.
No reforms no Election
 
Proffessor muongo wankutupwa CCM haina miaka 60

CCM ilianzishwa mwaka 1977 ina miaka 48

Profesa yupo sahihi, CCM siyo chama cha kisiasa, ni chama dola sawa na umri wa dola ya Tanganyika ktk koti la Muungano yenye vyombo vya ulinzi, usalama n.k kwa maana nyingine ni serikali iliyojivika joho la CCM
 
Kwa hiyo kikiwa chama Dola!
Sawa kabisa na dola ni 'state' nchi yenye kuviamrisha vyombo vya dola.

Chama kweli cha siasa cha hakina uwezo kuamrisha 'vyombo' na 'mihiimili Huru' wala Msajili wa vyama, Jeshi, Polisi, Bunge wala Mahakama au kuteua MaDED walio makada ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…