Prof. Eliza Mwakasungula aliyekuwa DVC (Academic) Mzumbe alifanya kosa gani?

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,477
Reaction score
40,278
1. Nimewahi kukutana na huyu Profesa huko Mzumbe, Main Campus - Morogoro.

2. Msomi huyu ni ngumu kuongea lugha ya Kiingereza hata logic kwenye sentensi za Kiswahili ujitahidi kumuelewa sana vinginevyo unaweza kutoka kapa.

3. Akapata u-DVC-Academic, punde katumbuliwa na nafasi yake kujazwa na Prof Hawa Tundui (PhD) nini kilitokea kwa Prof Mwakasungula?

NB: Kutumbuliwa zama hizi ambazo hakuna utumbuzi lazima alifanya kosa kubwa sana au ni uonevu tu? Mbona Umma haukuarifiwa?
 
Kwa hio ulimpima kwa yeye kuto kuweza kuongea Kingereza? Africa tuna safari ndefu sana make tunaabudu sana Lugha, Wale wachina wanao tuzalishia kila kitu unaweza kuta hawajui hata hicho kingereza ni nini, ila ndio wanatuzalishia hadi Midoli, wanatuzalishia hadi vijiti vya kuchokonolea meno, sisi tumekaaa tunaabudu Lugha ili hali hata techinolojia ya kuzalisha pini tu hatuna.

Ni kikuliza hio Lugha ya Kingereza inaweza leta mapinduzi gani ya uchumi kwenye hii nchi?
 
Siku hizi mwenye GPA ya 4.7 anakaa Chumba kimoja na mwenye GPA ya 2.6 wanafanya Pepa moja na cha ajabu mwenye GPA ya 2.6 anafaulu ila mwenye GPA ya 4.7 anafeli ni hatari sana, ndicho alichomaanisha mwamba hapo juu kazi na ajira siku hizi haziangalii akili tena kwamba unajua nini ila unafahamu nini?
 
Kwa hio ulimpima kwa yeye kuto kuweza kuongea Kingereza? Africa tuna safari ndefu sana make tunaabudu sana Lugha, Wale wachina wanao tuzalishia kila kitu unaweza kuta hawajui hata hicho kingereza ni nini, ila ndio wanatuzalishia hadi Midoli, wanatuzalishia hadi vijiti vya kuchokonolea meno, sisi tumekaaa tunaabudu Lugha ili hali hata techinolojia ya kuzalisha pini tu hatuna.

Ni kikuliza hio Lugha ya Kingereza inaweza leta mapinduzi gani ya uchumi kwenye hii nchi?
Mkuu lugha ni nyenzo mhimu sana, Sasa kama professor wa Tanzania aliyesoma kwa lugha ya kiingereza toka darasa la 2 mpaka thesis yake aliandika kwa kiingereza, akaiwasilisha kwa kiingereza na anatumika kiingereza kufundishia na kutoa mihadhara anashindwa kingereza unahisi Kuna mtu hapo?
 
Kama Kiingereza ni kipimo cha usomi basi hata huyu Mzungu siyo msomi kwa kushindwa kuongea Kiswahili sanifu
 
According to mfumo wao wa elimu wanasoma english kuanzia grade 3. So some wanajua, some dont
 
Hivyo wala havitishi, ukiongea na wale jamaa waupe wanakupa tu ili uwatumikie.
 
Nilipata bahati ya kusoma kidogo Biochemistry miaka 33 iliyopita...Mzungu huyu kaongea jambo muhimu sana kuwahusu baadhi ya wataalamu wetu...Tusipende kujikuza sana kwenye jamii kiasi cha kuanza kudanganya Wajinga kwenye fields zetu..
Prof ni mzuri kwenye field fulani,lkn sasa kaanza kutamani Umaarufu ambayo unaanza ' Kumvua nguo zake'..?
 
Mkuu lugha ni nyenzo mhimu sana, Sasa kama professor wa Tanzania aliyesoma kwa lugha ya kiingereza toka darasa la 2 mpaka thesis yake aliandika kwa kiingereza, akaiwasilisha kwa kiingereza na anatumika kiingereza kufundishia na kutoa mihadhara anashindwa kingereza unahisi Kuna mtu hapo?
ni nyenzo Muhimu Tanzania? Asia zinakuja juu kiuchumi kuliko hata nchi za Ulaya ila wanatumia Lugha zao, Ok hebu leta hatua tulio piga hadi sasa kupitia kugha ya Kingereza
 
Mkuu lugha ni nyenzo mhimu sana, Sasa kama professor wa Tanzania aliyesoma kwa lugha ya kiingereza toka darasa la 2 mpaka thesis yake aliandika kwa kiingereza, akaiwasilisha kwa kiingereza na anatumika kiingereza kufundishia na kutoa mihadhara anashindwa kingereza unahisi Kuna mtu hapo?

Waafrica tuna ujinga mwingi sana moja ya Sababu ya Asia kupiga hatua ni kwa sababu walikataa tamaduni zote za Wakoloni wao, sasa sisi Africa tulipokea kila kitu na moja wapo ni hii ya mtu akiongea Kingereza anajiona ni ana akili sana.

Kingereza ni Lugha mkuu kama Kijerumani na kifaransa na kadhalika haipim akili, hakuna uhusiano wa akili na kuongea Kingereza.
 
Kama Kiingereza ni kipimo cha usomi basi hata huyu Mzungu siyo msomi kwa kushindwa kuongea Kiswahili sanifu
View attachment 3316984
Kiswahili ni lugha ambayo tangu enzi na enzi haijahifadhi masrifa na ujuzi wowote. Hakuna tafiti zilizofanywa kidunia na kuandikwa kwa kiswahili. Ndiyo maana hata Nyerere akaona isitumike kufundishia mashuleni.
Kiwahil ni lugha ya umbea na majungu tu

Elimu na maarifa vimehifadhiwa ktk lugha ya kiingereza. Lugha yetu ya kufundishia ni kiingerza. Ndiyo maana tunaamini mwenye kujua kiingereza ameyachota masrifa kisawsawa.

Hao wachina na warusi Wana teknolojia yao na wanafanya vya kwao kwa lugha yao. Wewe na nchi yako mna nn? Hata kijiti cha meno mnaagiza toka nje.
 
Binafsi nimepita SOB na postgraduate SOPAM Dr. Mwakasungula ni mmoja kati ya hazina kubwa kwa taifa pamoja na Dr. Lyatonga bila kumsahau Dr. Kinemo, wote hawa ni wanawake wa shoka kutoka Mzumbe University.
Pengine mleta mada ana mambo yake personal ndiyo maana kaja kumchafua Daktari apa jukwaani.
 
Nimewahi kukutana na huyu anayejiita Profesa huko Mzumbe.

Yaani kuongea sentensi 3 za Kiingereza au logic yoyote ilikuwa changamoto.

Ghafla akawa DVC, punde katumbuliwa! Alifanya kosa gani?
Mkuu kutokujua kingereza vizuri haikufanyi uonekane huna akili ama huna uwezo mzuri kichwani. Elewa tu kwamba kingereza ni lugha kama lugha nyingine za kisukuma, kihaya, kimakonde ama kiyao.
 
Kama Kiingereza ni kipimo cha usomi basi hata huyu Mzungu siyo msomi kwa kushindwa kuongea Kiswahili sanifu
View attachment 3316984
Wewe ni tahira
Matahira kama nyie ndio hulifanya taifa lidumae.
Huyu Mzungu elimu yake ya sekondari miaka 4+2 na miaka yote ya chuo kikuu kasoma na kujibu mitihani kwa lugha ya Kiswahili?
Prof. wa Tanzania katika safari yake ya elimu miaka zaidi ya 17 amefundishwa kwa KIINGEREZA , amejibu kwa KIINGEREZA na kufanya research kwa KIINGEREZA, inakuwaje asiwe imara kwenye hiyo lugha?
Mfano wako hapo juu ni mfu.
Tahira mmoja alisema mbona Wachina hawajui KIINGEREZA na wamesoma. Ukimuuliza amesoma kwa lugha gani anatoa povu.
 
Nimewahi kukutana na huyu anayejiita Profesa huko Mzumbe.

Yaani kuongea sentensi 3 za Kiingereza au logic yoyote ilikuwa changamoto.

Ghafla akawa DVC, punde katumbuliwa! Alifanya kosa gani?
sasa wewe umesema hawezi hata kuongea kingeli sasa unauliza kakosea nini?
 
Back
Top Bottom