Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,233
- 51,648
Inawezekana hiyo logic ni kwa mtazamo wake ila kwa wengine inaonekanaJamaa kaandika prof anapwaya kwenye logic pia si lugha tu
Inawezekana hiyo logic ni kwa mtazamo wake ila kwa wengine inaonekanaJamaa kaandika prof anapwaya kwenye logic pia si lugha tu
Wewe ni mtumwa bado.Ibrahim Traore anakutazama kwa dharaaaaaaaaau !!Nimewahi kukutana na huyu Profesa huko Mzumbe.
Msomi huyu ni ngumu kuongea lugha ya Kiingereza hata logic kwenye sentensi za Kiswahili ujitahidi kumuelewa Sana.
Akapata u-DVC-academic, punde katumbuliwa na nafasi yale kujazwa na Prof Hawa Tundui. Yule wa awali alifanya kosa gani?
Kutumbuliwa Zama Hizi ambayo hakuna utumbuzi lazima alifanya kosa kubwa
Huyo Sasa ndio MSOMI, anaongea kiswahili Halafu achanganye kiingereza! Wewe nawe umekosea mada.Mkuu lugha ni nyenzo mhimu sana, Sasa kama professor wa Tanzania aliyesoma kwa lugha ya kiingereza toka darasa la 2 mpaka thesis yake aliandika kwa kiingereza, akaiwasilisha kwa kiingereza na anatumika kiingereza kufundishia na kutoa mihadhara anashindwa kingereza unahisi Kuna mtu hapo?
Dah! Dr. Idda Lyatonga ni mtu wa maana, ila ana roho mbaya balaa yule mama!Binafsi nimepita SOB na postgraduate SOPAM Dr. Mwakasungula ni mmoja kati ya hazina kubwa kwa taifa pamoja na Dr. Lyatonga bila kumsahau Dr. Kinemo, wote hawa ni wanawake wa shoka kutoka Mzumbe University.
Pengine mleta mada ana mambo yake personal ndiyo maana kaja kumchafua Daktari apa jukwaani.
Tokea form one mpaka PhD ni kingereza unadanganya kwa kusema ni kiswahili acha uongoInategemea mfumo wa elimu na taaluma nchini uko katika lugha gani. Mtu asipoielewa lugha hiyo anakwama kielimu.
Kama Tanzania mfumo wetu mzima wa kielimu, kitaaluma na kiteknolojia ni wa Kiswahili kama ilivyo kwa Wachina, Wajapani, Wamisri (kiarabu), Wairan (kiajemi), wajerumani, wafaransa, n.k., basi kujua au kutojua kiingereza si hoja sana (not a big deal).
Btw, India wanatumia lugha gani kuu katika mfumo wao wa elimu? Wanatumia kihindu? Kuna maprofesa wa kihindi wanaofundisha kwa kihindu tu?
ALikuwa hawezi kujieleza ambayo ndo matunda ya ccm chama dolaNimewahi kukutana na huyu Profesa huko Mzumbe.
Msomi huyu ni ngumu kuongea lugha ya Kiingereza hata logic kwenye sentensi za Kiswahili ujitahidi kumuelewa Sana.
Akapata u-DVC-academic, punde katumbuliwa na nafasi yale kujazwa na Prof Hawa Tundui. Yule wa awali alifanya kosa gani?
Kutumbuliwa Zama Hizi ambayo hakuna utumbuzi lazima alifanya kosa kubwa
Soma tena nilichoandika.Tokea form one mpaka PhD ni kingereza unadanganya kwa kusema ni kiswahili acha uongo
Hakuna sehemu nimetaja neno AKILI wala UWEZO hoja ni kwamba alitumbuliwa kwa kosa lipi?Mkuu kutokujua kingereza vizuri haikufanyi uonekane huna akili ama huna uwezo mzuri kichwani. Elewa tu kwamba kingereza ni lugha kama lugha nyingine za kisukuma, kihaya, kimakonde ama kiyao.
Wana Mzumbe mna siri sana.1. Nimewahi kukutana na huyu Profesa huko Mzumbe, Main Campus - Morogoro.
2. Msomi huyu ni ngumu kuongea lugha ya Kiingereza hata logic kwenye sentensi za Kiswahili ujitahidi kumuelewa sana vinginevyo unaweza kutoka kapa.
3. Akapata u-DVC-Academic, punde katumbuliwa na nafasi yake kujazwa na Prof Hawa Tundui (PhD) nini kilitokea kwa Prof Mwakasungula?
NB: Kutumbuliwa zama hizi ambazo hakuna utumbuzi lazima alifanya kosa kubwa sana au ni uonevu tu? Mbona Umma haukuarifiwa?
..hizo rejea za kukupa maarifa ulete mapinduzi kiuchumi zimeandikwa kwa lugha ya kabila lako?Kwa hio ulimpima kwa yeye kuto kuweza kuongea Kingereza? Africa tuna safari ndefu sana make tunaabudu sana Lugha, Wale wachina wanao tuzalishia kila kitu unaweza kuta hawajui hata hicho kingereza ni nini, ila ndio wanatuzalishia hadi Midoli, wanatuzalishia hadi vijiti vya kuchokonolea meno, sisi tumekaaa tunaabudu Lugha ili hali hata techinolojia ya kuzalisha pini tu hatuna.
Ni kikuliza hio Lugha ya Kingereza inaweza leta mapinduzi gani ya uchumi kwenye hii nchi?
SawaInawezekana hiyo logic ni kwa mtazamo wake ila kwa wengine inaonekana
Huyo janabi ni tepeli tu anasikilizwa na wajinga.Nilipata bahati ya kusoma kidogo Biochemistry miaka 33 iliyopita...Mzungu huyu kaongea jambo muhimu sana kuwahusu baadhi ya wataalamu wetu...Tusipende kujikuza sana kwenye jamii kiasi cha kuanza kudanganya Wajinga kwenye fields zetu..
Prof ni mzuri kwenye field fulani,lkn sasa kaanza kutamani Umaarufu ambayo unaanza ' Kumvua nguo zake'..?
Mimi sioni shida kutokuongea English, cha msingi ni kuelimika. Kuelimika sio English.Kwa sababu hamna logic na reasoning nzuri kwenye kila mnaloliongea. Mnajua mnaongea uongo lakini mnajikaza kaza. Ongeeni ukweli mheshimiwe la sivyo mtaendelea kutukanwa hadi mkome.
Kwako wewe kuelimika siyo English, unavyodanganywa. Kila mahali unapoenda au unapofanya kazi iwe accounting, hospitals, hadi mahakamani. Kila kitu ni English. Kiswahili kinatumika kwenye ngoma, unyago, sherehe. Wapi kwingine? Hata lugha ya biashara ni English, acha science etc. Jipe moyo na ubakie hivyo hivyo. CV yako uliyoombea kazi ilikuwa katika lugha gani?Mimi sioni shida kutokuongea English, cha msingi ni kuelimika. Kuelimika sio English.