Prof. Eliza Mwakasungula aliyekuwa DVC (Academic) Mzumbe alifanya kosa gani?

Prof. Eliza Mwakasungula aliyekuwa DVC (Academic) Mzumbe alifanya kosa gani?

Maprofessor wa Mzumbe wana nini?

Ni kwikwi
 
Dah! Dr. Idda Lyatonga ni mtu wa maana, ila ana roho mbaya balaa yule mama!

Mwanzo nilikuwa nasikia tu wengine walilalamika, nikaja kujaa kwenye mfumo wake sasa, aisee🙌
HOD alifanya nini tena, kwa pale SOPAM yule Dr ni mtu wa maana sana.
 
Wewe ni tahira
Matahira kama nyie ndio hulifanya taifa lidumae.
Huyu Mzungu elimu yake ya sekondari miaka 4+2 na miaka yote ya chuo kikuu kasoma na kujibu mitihani kwa lugha ya Kiswahili?
Prof. wa Tanzania katika safari yake ya elimu miaka zaidi ya 17 amefundishwa kwa KIINGEREZA , amejibu kwa KIINGEREZA na kufanya research kwa KIINGEREZA, inakuwaje asiwe imara kwenye hiyo lugha?
Mfano wako hapo juu ni mfu.
Tahira mmoja alisema mbona Wachina hawajui KIINGEREZA na wamesoma. Ukimuuliza amesoma kwa lugha gani anatoa povu.
PP yako inadhihirisha jinsi tabia yako ilivyo kiuwasilishaji hoja ingawa ina mashiko.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
1. Nimewahi kukutana na huyu Profesa huko Mzumbe, Main Campus - Morogoro.

2. Msomi huyu ni ngumu kuongea lugha ya Kiingereza hata logic kwenye sentensi za Kiswahili ujitahidi kumuelewa sana vinginevyo unaweza kutoka kapa.

3. Akapata u-DVC-Academic, punde katumbuliwa na nafasi yake kujazwa na Prof Hawa Tundui (PhD) nini kilitokea kwa Prof Mwakasungula?

NB: Kutumbuliwa zama hizi ambazo hakuna utumbuzi lazima alifanya kosa kubwa sana au ni uonevu tu? Mbona Umma haukuarifiwa?
1746203805875.png
 
Back
Top Bottom