and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Siku hizi mwenye GPA ya 4.7 anakaa Chumba kimoja na mwenye GPA ya 2.6 wanafanya Pepa moja na cha ajabu mwenye GPA ya 2.6 anafaulu ila mwenye GPA ya 4.7 anafeli ni hatari sana, ndicho alichomaanisha mwamba hapo juu kazi na ajira siku hizi haziangalii akili tena kwamba unajua nini ila unafahamu nini?Kwa hio ulimpima kwa yeye kuto kuweza kuongea Kingereza? Africa tuna safari ndefu sana make tunaabudu sana Lugha, Wale wachina wanao tuzalishia kila kitu unaweza kuta hawajui hata hicho kingereza ni nini, ila ndio wanatuzalishia hadi Midoli, wanatuzalishia hadi vijiti vya kuchokonolea meno, sisi tumekaaa tunaabudu Lugha ili hali hata techinolojia ya kuzalisha pini tu hatuna.
Ni kikuliza hio Lugha ya Kingereza inaweza leta mapinduzi gani ya uchumi kwenye hii nchi?
Mkuu lugha ni nyenzo mhimu sana, Sasa kama professor wa Tanzania aliyesoma kwa lugha ya kiingereza toka darasa la 2 mpaka thesis yake aliandika kwa kiingereza, akaiwasilisha kwa kiingereza na anatumika kiingereza kufundishia na kutoa mihadhara anashindwa kingereza unahisi Kuna mtu hapo?Kwa hio ulimpima kwa yeye kuto kuweza kuongea Kingereza? Africa tuna safari ndefu sana make tunaabudu sana Lugha, Wale wachina wanao tuzalishia kila kitu unaweza kuta hawajui hata hicho kingereza ni nini, ila ndio wanatuzalishia hadi Midoli, wanatuzalishia hadi vijiti vya kuchokonolea meno, sisi tumekaaa tunaabudu Lugha ili hali hata techinolojia ya kuzalisha pini tu hatuna.
Ni kikuliza hio Lugha ya Kingereza inaweza leta mapinduzi gani ya uchumi kwenye hii nchi?
Kama Kiingereza ni kipimo cha usomi basi hata huyu Mzungu siyo msomi kwa kushindwa kuongea Kiswahili sanifuKwa hio ulimpima kwa yeye kuto kuweza kuongea Kingereza? Africa tuna safari ndefu sana make tunaabudu sana Lugha, Wale wachina wanao tuzalishia kila kitu unaweza kuta hawajui hata hicho kingereza ni nini, ila ndio wanatuzalishia hadi Midoli, wanatuzalishia hadi vijiti vya kuchokonolea meno, sisi tumekaaa tunaabudu Lugha ili hali hata techinolojia ya kuzalisha pini tu hatuna.
Ni kikuliza hio Lugha ya Kingereza inaweza leta mapinduzi gani ya uchumi kwenye hii nchi?
According to mfumo wao wa elimu wanasoma english kuanzia grade 3. So some wanajua, some dontKwa hio ulimpima kwa yeye kuto kuweza kuongea Kingereza? Africa tuna safari ndefu sana make tunaabudu sana Lugha, Wale wachina wanao tuzalishia kila kitu unaweza kuta hawajui hata hicho kingereza ni nini, ila ndio wanatuzalishia hadi Midoli, wanatuzalishia hadi vijiti vya kuchokonolea meno, sisi tumekaaa tunaabudu Lugha ili hali hata techinolojia ya kuzalisha pini tu hatuna.
Ni kikuliza hio Lugha ya Kingereza inaweza leta mapinduzi gani ya uchumi kwenye hii nchi?
ni nyenzo Muhimu Tanzania? Asia zinakuja juu kiuchumi kuliko hata nchi za Ulaya ila wanatumia Lugha zao, Ok hebu leta hatua tulio piga hadi sasa kupitia kugha ya KingerezaMkuu lugha ni nyenzo mhimu sana, Sasa kama professor wa Tanzania aliyesoma kwa lugha ya kiingereza toka darasa la 2 mpaka thesis yake aliandika kwa kiingereza, akaiwasilisha kwa kiingereza na anatumika kiingereza kufundishia na kutoa mihadhara anashindwa kingereza unahisi Kuna mtu hapo?
Mkuu lugha ni nyenzo mhimu sana, Sasa kama professor wa Tanzania aliyesoma kwa lugha ya kiingereza toka darasa la 2 mpaka thesis yake aliandika kwa kiingereza, akaiwasilisha kwa kiingereza na anatumika kiingereza kufundishia na kutoa mihadhara anashindwa kingereza unahisi Kuna mtu hapo?
Kiswahili ni lugha ambayo tangu enzi na enzi haijahifadhi masrifa na ujuzi wowote. Hakuna tafiti zilizofanywa kidunia na kuandikwa kwa kiswahili. Ndiyo maana hata Nyerere akaona isitumike kufundishia mashuleni.Kama Kiingereza ni kipimo cha usomi basi hata huyu Mzungu siyo msomi kwa kushindwa kuongea Kiswahili sanifu
View attachment 3316984
Mkuu kutokujua kingereza vizuri haikufanyi uonekane huna akili ama huna uwezo mzuri kichwani. Elewa tu kwamba kingereza ni lugha kama lugha nyingine za kisukuma, kihaya, kimakonde ama kiyao.Nimewahi kukutana na huyu anayejiita Profesa huko Mzumbe.
Yaani kuongea sentensi 3 za Kiingereza au logic yoyote ilikuwa changamoto.
Ghafla akawa DVC, punde katumbuliwa! Alifanya kosa gani?
Wewe ni tahiraKama Kiingereza ni kipimo cha usomi basi hata huyu Mzungu siyo msomi kwa kushindwa kuongea Kiswahili sanifu
View attachment 3316984
sasa wewe umesema hawezi hata kuongea kingeli sasa unauliza kakosea nini?Nimewahi kukutana na huyu anayejiita Profesa huko Mzumbe.
Yaani kuongea sentensi 3 za Kiingereza au logic yoyote ilikuwa changamoto.
Ghafla akawa DVC, punde katumbuliwa! Alifanya kosa gani?