Unachomekwa kidole makalioni weweWewe ni tahira
Matahira kama nyie ndio hulifanya taifa lidumae.
Huyu Mzungu elimu yake ya sekondari miaka 4+2 na miaka yote ya chuo kikuu kasoma na kujibu mitihani kwa lugha ya Kiswahili?
Sasa wewe huelewiKama Kiingereza ni kipimo cha usomi basi hata huyu Mzungu siyo msomi kwa kushindwa kuongea Kiswahili sanifu
View attachment 3316984
Hili nalo ni tatizo sana, hivi wewe Asia ipi ambayo imepuuza lugha ya kiingereza? China wanpaka vyuo vikuu vinafundisha kichina na vingine kiingereza! Lakini wao pia wamekubaliana wafundishane kichina, ama kihindi ama kikorea Sasa kutaka kumtetea professor wa Tanzania kwa kutojua kiingereza ni ujinga pia.Waafrica tuna ujinga mwingi sana moja ya Sababu ya Asia kupiga hatua ni kwa sababu walikataa tamaduni zote za Wakoloni wao, sasa sisi Africa tulipokea kila kitu na moja wapo ni hii ya mtu akiongea Kingereza anajiona ni ana akili sana.
Kingereza ni Lugha mkuu kama Kijerumani na kifaransa na kadhalika haipim akili, hakuna uhusiano wa akili na kuongea Kingereza.
Umejuaje kama katumbuliwa, what if alikuwa Kakaimu nafasi kwa muda?Nimewahi kukutana na huyu anayejiita Profesa huko Mzumbe.
Yaani kuongea sentensi 3 za Kiingereza au logic yoyote ilikuwa changamoto.
Ghafla akawa DVC, punde katumbuliwa! Alifanya kosa gani?
Naomba kuelezwa tofauti ya kufahamu na kujuaSiku hizi mwenye GPA ya 4.7 anakaa Chumba kimoja na mwenye GPA ya 2.6 wanafanya Pepa moja na cha ajabu mwenye GPA ya 2.6 anafaulu ila mwenye GPA ya 4.7 anafeli ni hatari sana, ndicho alichomaanisha mwamba hapo juu kazi na ajira siku hizi haziangalii akili tena kwamba unajua nini ila unafahamu nini?
Hivi ushawahi kuulizwa unanijua au unanifahamu? Wewe mfano mimi hapa zerominus10 wewe unanijua au unanifahamu?Naomba kuelezwa tofauti ya kufahamu na kujua
Wachina wana haki ya kutokujua kiingereza maana elimu yao ya awali, kati na juu inatolewa kwa lugha yao ya kichina. Sisi Watanzania elimu yetu ya kati na juu inatolewa kwa kiingereza, kwa hiyo iwapo umeishi na kukuliaa Tanzania na haujui kiingereza, kwa ufupi tu ni kwamba wewe hauna elimuWale wachina wanao tuzalishia kila kitu unaweza kuta hawajui hata hicho kingereza ni nini,
Elimu siyo akili kitabu kina elimu ila hakina hata akili moja...wewe unaongelea elimu yaani watu wenye elimu ya GPA 2.6 na GPA 4.7 hapo kuna hoja ila usiseme akili....akili kubwa ni kitu adimu sana duniani.Siku hizi mwenye GPA ya 4.7 anakaa Chumba kimoja na mwenye GPA ya 2.6 wanafanya Pepa moja na cha ajabu mwenye GPA ya 2.6 anafaulu ila mwenye GPA ya 4.7 anafeli ni hatari sana, ndicho alichomaanisha mwamba hapo juu kazi na ajira siku hizi haziangalii akili tena kwamba unajua nini ila unafahamu nini?
Lugha ya kiingereza unaweza kuitumia kuiba technology ya wazungu tu mkuu vyote ulivyoongea upo sahihi.Kwa hio ulimpima kwa yeye kuto kuweza kuongea Kingereza? Africa tuna safari ndefu sana make tunaabudu sana Lugha, Wale wachina wanao tuzalishia kila kitu unaweza kuta hawajui hata hicho kingereza ni nini, ila ndio wanatuzalishia hadi Midoli, wanatuzalishia hadi vijiti vya kuchokonolea meno, sisi tumekaaa tunaabudu Lugha ili hali hata techinolojia ya kuzalisha pini tu hatuna.
Ni kikuliza hio Lugha ya Kingereza inaweza leta mapinduzi gani ya uchumi kwenye hii nchi?
Ni ndalichako mwingine huyoNimewahi kukutana na huyu anayejiita Profesa huko Mzumbe.
Yaani kuongea sentensi 3 za Kiingereza au logic yoyote ilikuwa changamoto.
Ghafla akawa DVC, punde katumbuliwa! Alifanya kosa gani?
Kwa nini hamuwezi kutufundisha bila kutukana mkuu humu kila mtu akitukana si hakuna kitu kitakachoendelea tena..Wewe ni tahira
Matahira kama nyie ndio hulifanya taifa lidumae.
Huyu Mzungu elimu yake ya sekondari miaka 4+2 na miaka yote ya chuo kikuu kasoma na kujibu mitihani kwa lugha ya Kiswahili?
Prof. wa Tanzania katika safari yake ya elimu miaka zaidi ya 17 amefundishwa kwa KIINGEREZA , amejibu kwa KIINGEREZA na kufanya research kwa KIINGEREZA, inakuwaje asiwe imara kwenye hiyo lugha?
Mfano wako hapo juu ni mfu.
Tahira mmoja alisema mbona Wachina hawajui KIINGEREZA na wamesoma. Ukimuuliza amesoma kwa lugha gani anatoa povu.
Kiswahili imeweza kuleta mapinduzi gani katika nchi hii? Viongozi wako wanapeleka watoto wao kusoma Uingereza, Marekani na Ulaya. Wewe unadanganywa kuwa Kiswahili ndiyo itakusaidia. Hivi huoni hilo? Utabaki kuwa tabaka la chini la kutawaliwa kwa kuwa hufikiri vizuri.....Utabaki kuendesha Daladala/Bodaboda na watoto wako. Interviews zote kwa kiingereza, elimu yetu kuanzia secondary hadi tertiary level ni English...Endelea kujipa moyo. Nani anakitaka Kiswahili?Kwa hio ulimpima kwa yeye kuto kuweza kuongea Kingereza? Africa tuna safari ndefu sana make tunaabudu sana Lugha, Wale wachina wanao tuzalishia kila kitu unaweza kuta hawajui hata hicho kingereza ni nini, ila ndio wanatuzalishia hadi Midoli, wanatuzalishia hadi vijiti vya kuchokonolea meno, sisi tumekaaa tunaabudu Lugha ili hali hata techinolojia ya kuzalisha pini tu hatuna.
Ni kikuliza hio Lugha ya Kingereza inaweza leta mapinduzi gani ya uchumi kwenye hii nchi?
Kwa sababu hamna logic na reasoning nzuri kwenye kila mnaloliongea. Mnajua mnaongea uongo lakini mnajikaza kaza. Ongeeni ukweli mheshimiwe la sivyo mtaendelea kutukanwa hadi mkome.Kwa nini hamuwezi kutufundisha bila kutukana mkuu humu kila mtu akitukana si hakuna kitu kitakachoendelea tena..
Mosi ,huyu hajasoma kwa Kiingereza. Prof amesoma na anafundisha kwa kiingereza pili jamaa alisema hata logic kwa huyo prof hakunaKama Kiingereza ni kipimo cha usomi basi hata huyu Mzungu siyo msomi kwa kushindwa kuongea Kiswahili sanifu
View attachment 3316984
Jamaa kaandika prof anapwaya kwenye logic pia si lugha tuKwa hio ulimpima kwa yeye kuto kuweza kuongea Kingereza? Africa tuna safari ndefu sana make tunaabudu sana Lugha, Wale wachina wanao tuzalishia kila kitu unaweza kuta hawajui hata hicho kingereza ni nini, ila ndio wanatuzalishia hadi Midoli, wanatuzalishia hadi vijiti vya kuchokonolea meno, sisi tumekaaa tunaabudu Lugha ili hali hata techinolojia ya kuzalisha pini tu hatuna.
Ni kikuliza hio Lugha ya Kingereza inaweza leta mapinduzi gani ya uchumi kwenye hii nchi?
Kwa hiyo degree zote zilikuwa under the underwear influence au siyo?Nimewahi kukutana na huyu Profesa huko Mzumbe.
Msomi huyu ni ngumu kuongea lugha ya Kiingereza hata logic kwenye sentensi za Kiswahili ujitahidi kumuelewa Sana.
Akapata u-DVC-academic, punde katumbuliwa na nafasi yale kujazwa na Prof Hawa Tundui. Yule wa awali alifanya kosa gani?
Kutumbuliwa Zama Hizi ambayo hakuna utumbuzi lazima alifanya kosa kubwa
Tokea form one mpaka PhD unasoma kupitia English alafu unaona ni sawa kwa mtu kutokujua kingerezaKwa hio ulimpima kwa yeye kuto kuweza kuongea Kingereza? Africa tuna safari ndefu sana make tunaabudu sana Lugha, Wale wachina wanao tuzalishia kila kitu unaweza kuta hawajui hata hicho kingereza ni nini, ila ndio wanatuzalishia hadi Midoli, wanatuzalishia hadi vijitivya kuchokonolea meno, sisi tumekaaa tunaabudu Lugha ili hali hata techinolojia ya kuzalisha pini tu hatuna.
Ni kikuliza hio Lugha ya Kingereza inaweza leta mapinduzi gani ya uchumi kwenye hii nchi?
kuandika na kuongea ni vitu viwili tafauti. Unaweza kuwa mahiri wa kuzungumza lakini uandishi zero, na vilevile kuwa unaandika mapaper mengi ya thamani sana kwa kienglish lakini kuzungumza ni ndogo.Mkuu lugha ni nyenzo mhimu sana, Sasa kama professor wa Tanzania aliyesoma kwa lugha ya kiingereza toka darasa la 2 mpaka thesis yake aliandika kwa kiingereza, akaiwasilisha kwa kiingereza na anatumika kiingereza kufundishia na kutoa mihadhara anashindwa kingereza unahisi Kuna mtu hapo?
Kuna Mnigeria mmoja anasema hivi:- Since when Education is the Test of Knowledge. TRUE OR FALSE ?Siku hizi mwenye GPA ya 4.7 anakaa Chumba kimoja na mwenye GPA ya 2.6 wanafanya Pepa moja na cha ajabu mwenye GPA ya 2.6 anafaulu ila mwenye GPA ya 4.7 anafeli ni hatari sana, ndicho alichomaanisha mwamba hapo juu kazi na ajira siku hizi haziangalii akili tena kwamba unajua nini ila unafahamu nini?