Prof. Eliza Mwakasungula aliyekuwa DVC (Academic) Mzumbe alifanya kosa gani?

Wewe ni mtumwa bado.Ibrahim Traore anakutazama kwa dharaaaaaaaaau !!
 
Inategemea mfumo wa elimu na taaluma nchini uko katika lugha gani. Mtu asipoielewa lugha hiyo anakwama kielimu.

Kama Tanzania mfumo wetu mzima wa kielimu, kitaaluma na kiteknolojia ni wa Kiswahili kama ilivyo kwa Wachina, Wajapani, Wamisri (kiarabu), Wairan (kiajemi), wajerumani, wafaransa, n.k., basi kujua au kutojua kiingereza si hoja sana (not a big deal).

Btw, India wanatumia lugha gani kuu katika mfumo wao wa elimu? Wanatumia kihindu? Kuna maprofesa wa kihindi wanaofundisha kwa kihindu tu?
 
Huyo Sasa ndio MSOMI, anaongea kiswahili Halafu achanganye kiingereza! Wewe nawe umekosea mada.
 
Dah! Dr. Idda Lyatonga ni mtu wa maana, ila ana roho mbaya balaa yule mama!

Mwanzo nilikuwa nasikia tu wengine walilalamika, nikaja kujaa kwenye mfumo wake sasa, aisee🙌
 
Tokea form one mpaka PhD ni kingereza unadanganya kwa kusema ni kiswahili acha uongo
 
ALikuwa hawezi kujieleza ambayo ndo matunda ya ccm chama dola
 
Wana Mzumbe mna siri sana.
 
..hizo rejea za kukupa maarifa ulete mapinduzi kiuchumi zimeandikwa kwa lugha ya kabila lako?
Ni muhim na lazima kujua lugha inayoweza kukupa maarifa kutatua matatizo yako.
 
Huyo janabi ni tepeli tu anasikilizwa na wajinga.
 
Kwa sababu hamna logic na reasoning nzuri kwenye kila mnaloliongea. Mnajua mnaongea uongo lakini mnajikaza kaza. Ongeeni ukweli mheshimiwe la sivyo mtaendelea kutukanwa hadi mkome.
Mimi sioni shida kutokuongea English, cha msingi ni kuelimika. Kuelimika sio English.
 
Mimi sioni shida kutokuongea English, cha msingi ni kuelimika. Kuelimika sio English.
Kwako wewe kuelimika siyo English, unavyodanganywa. Kila mahali unapoenda au unapofanya kazi iwe accounting, hospitals, hadi mahakamani. Kila kitu ni English. Kiswahili kinatumika kwenye ngoma, unyago, sherehe. Wapi kwingine? Hata lugha ya biashara ni English, acha science etc. Jipe moyo na ubakie hivyo hivyo. CV yako uliyoombea kazi ilikuwa katika lugha gani?
 
Unajua unachokosea wewe ni kuchanganya kuongea English na kuelewa English. Mtu anaweza kuelewa,kuandika ila akawa hayuko fluent kuongea.
Ndio maana kuelimika sio kuongea English.
Kwa taarifa yako nchi nzima watendaji wake wengi wanajaa kwenye hivo vitu nilivyoandika hapo juu, je nchi haiendi?! Magufuli hakua fluent in English speaking, hakuelimika?!
Wewe mwenyewe huwezi kuflow kama wazungu usitupange bwana.
 
Maprofessor wa Mzumbe wana nini?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…