and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
- Thread starter
-
- #61
Ni kwikwiMaprofessor wa Mzumbe wana nini?
Felician Barongo wa Mzumbe University
wana JF, Nimepata taarifa za kusikitisha kutoka kwa baadhi ya marafiki zangu wa karibu sana ambao wanasoma masomo ya jioni pale chuo kikuu cha Mzumbe,D'salaam Campus,kwamba kuna mwalimu (lecturer) wao Dr Felician Barongo ambaye anafundisha masomo ya Human resource Management,anawasumbua sana...www.jamiiforums.com
Banned tena, 😂😂😂😂😂Hivi ushawahi kuulizwa unanijua au unanifahamu? Wewe mfano mimi hapa zerominus10 wewe unanijua au unanifahamu?
HOD alifanya nini tena, kwa pale SOPAM yule Dr ni mtu wa maana sana.Dah! Dr. Idda Lyatonga ni mtu wa maana, ila ana roho mbaya balaa yule mama!
Mwanzo nilikuwa nasikia tu wengine walilalamika, nikaja kujaa kwenye mfumo wake sasa, aisee🙌
PP yako inadhihirisha jinsi tabia yako ilivyo kiuwasilishaji hoja ingawa ina mashiko.Wewe ni tahira
Matahira kama nyie ndio hulifanya taifa lidumae.
Huyu Mzungu elimu yake ya sekondari miaka 4+2 na miaka yote ya chuo kikuu kasoma na kujibu mitihani kwa lugha ya Kiswahili?
Prof. wa Tanzania katika safari yake ya elimu miaka zaidi ya 17 amefundishwa kwa KIINGEREZA , amejibu kwa KIINGEREZA na kufanya research kwa KIINGEREZA, inakuwaje asiwe imara kwenye hiyo lugha?
Mfano wako hapo juu ni mfu.
Tahira mmoja alisema mbona Wachina hawajui KIINGEREZA na wamesoma. Ukimuuliza amesoma kwa lugha gani anatoa povu.
1. Nimewahi kukutana na huyu Profesa huko Mzumbe, Main Campus - Morogoro.
2. Msomi huyu ni ngumu kuongea lugha ya Kiingereza hata logic kwenye sentensi za Kiswahili ujitahidi kumuelewa sana vinginevyo unaweza kutoka kapa.
3. Akapata u-DVC-Academic, punde katumbuliwa na nafasi yake kujazwa na Prof Hawa Tundui (PhD) nini kilitokea kwa Prof Mwakasungula?
NB: Kutumbuliwa zama hizi ambazo hakuna utumbuzi lazima alifanya kosa kubwa sana au ni uonevu tu? Mbona Umma haukuarifiwa?
Kweli Lugha ya Malkia ngumu...Poor minds discuss people
Mno aiseeKweli Lugha ya Malkia ngumu...