Umeongea ukweli sana mpaka sio vizuri. Cryptos ni pana na wengi ni sawa na kipofu amshike tembo then mwambie akueleze tembo yukoje, kama kashika mkia si atakwambia tembo ni kama nyoka. Hata hizi investments za watu kuchangiana cryptos na wengine wakalizwa hapo, usihesabu kuwa unaijua cryptos. Unachokijua ni kidogo sanaWapo shallow sana kwenye haya mambo.
Hapo nina uhakika hakuna hata mmoja aliesoma kitabu cha bitcoin zaidi ya kuangalia zile video za dakik 2 za youtube [emoji23][emoji23]
ila ukiangalia kwa kigezo cha cheo, miwani na suti unaweza kudhani anajua [emoji23][emoji23]
Nashukuru kwa taarifa, na ni kweli usemayo juu ya Yuan. Ni kweli si kila coin ni sawa.Lielewe hili, China imepiga marufuku shughuli zote zinazohisiana na cryptocurrency.
Hiki kibano kipya kilipitishwa rasmi mwezi WA Tisa, Cryptocurrency ni haramu China.
China declares all crypto-currency transactions illegal
Trading Bitcoin and other crypto-currenices is a criminal activity, China's central bank says.www.bbc.com
China regulators to ban crypto trading and speculation
Chinese authorities have banned all virtual currency trading and speculation.www.pinsentmasons.com
Kampuni kama huobi haipokei tena wateja toka China bara(Mainland China).
Cryptocurrency exchange Huobi to clean up existing mainland clients by end-2021
Chinese cryptocurrency exchange Huobi Global said on Sunday it had stopped taking new mainland customers from Friday and would end contracts with mainland clients by the end of the year to comply with local regulations.www.reuters.com
Ufanyaji kazi WA digital yuan ni tofauti na coin zingine IPO Chini ya state control na sio decentralisation.
Sema arguments zenu nyi jamaa huwa zinaniacha hoi, yaani viposts vya instagram vya accounts fake ndo mnaweka kama source.Mkuu unatakiwa uzinduke, duniani sio china tu!View attachment 2024796
Ilibidi amalize hiyo tafiti ndio aje na conclusion!Tuna viongozi wa aina gani, unaanzaje kutoa hitimisho kabla ya hoja. Eti "Crypto hazipo safe, ila bado tunafanya utafiti"...Kama security ni main concern, Block Chain ni most secured technology tuliyo nayo kwa sasa na ndio future inapoelekea
Kila kitu ni centralized in China, Communist Party Of China inataka ku control kila kitu, na wapo sahihi cause bila hivyo system nzima ya uongozi ita collapse,Crypto ni decentralized, watumiaji wake ndio wenye total control
Lakini hawajawahi sema Crypto sio salama
Kama tulivyokuwa tunasema chanjo haiji Tz lakini leo unajua kinacho endelea.Muda ni rafiki mzuri.
KabisaKama tulivyokuwa tunasema chanjo haiji Tz lakini leo unajua kinacho endelea.
Utaelewa tu mkuu, endelea kuwa mpole. Dunia inaenda kasi hii!!Sema arguments zenu nyi jamaa huwa zinaniacha hoi, yaani viposts vya instagram vya accounts fake ndo mnaweka kama source.
Wanaanzaje pia unazuilika vip kutrade unaingia jirani apo unaendelea na mambo yakowakipiga marufuku currency speculation maisha yangu yatakuwa magumu sanaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapo shallow sana kwenye haya mambo.
Hapo nina uhakika hakuna hata mmoja aliesoma kitabu cha bitcoin zaidi ya kuangalia zile video za dakik 2 za youtube [emoji23][emoji23]
ila ukiangalia kwa kigezo cha cheo, miwani, suti na elimu zao za miaka ya 90 kabla hata bitcoin haijaanza, unaweza kudhani anajua [emoji23][emoji23]
Stone age ideasNi vizuri tz ikajiepusha kabisa na haya makitu na kupiga marufuku kabisa currency speculations
Bado Sana kujua..Kwani China wamepigaje marufuku, unadhani BOT hawana taarifa ya transactions ya hela mnazonunua hizo coins?
Pole sanaStone age ideas
Kwanini mkuu,huu sio uwekezaji?Njia za money laundry hizo...
Kwanini mkuu,huu sio uwekezaji?