kweyamba_dave
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 961
- 484
Speculation will never be safe. Uwekezaji wa Kuvizia lini uingie na lini utoke sio uwekezaji.Wapo shallow sana kwenye haya mambo.
Hapo nina uhakika hakuna hata mmoja aliesoma hata kitabu chenye page 30 cha bitcoin, zaidi zaidi wameangalia zile video za dakika 2 za youtube ππ
we vuta picha tu hata ishu ya paypal kupokea pesa mpaka leo imeshindikana kwasababu ya hao wazee wenye mawazo mgando ya miaka ya 90.
ila ukiwaangalia kwa kigezo cha cheo, miwani, suti, vyeo na elimu zao za miaka ya 90 kabla hata bitcoin haijaanza, unaweza kudhani wanajua ππ
hopeless kabisa!! haya mambo ilibidi wadau wanaohusika direct ambao wengi ni vijana wawekezaji wa cypto currency ndio wasikilizwe zaidi, sasa hawa wazee wapi na wapi wanaamua hatma ya vitu ambavyo hawana hata maarifa yake, yani hapo hao wazee hata ukiwaambia wallet ya bitcoin, hawaelewi kitu.
Mkuu, safety ya uwekezaji wowote inapungua pale risk inapoongezeka. Ndio maana Government Bonds au debentures ni safe kuliko aina nyingine za uwekezaji.Tuna viongozi wa aina gani, unaanzaje kutoa hitimisho kabla ya hoja. Eti "Crypto hazipo safe, ila bado tunafanya utafiti"...Kama security ni main concern, Block Chain ni most secured technology tuliyo nayo kwa sasa na ndio future inapoelekea
Kila kitu ni centralized in China, Communist Party Of China inataka ku control kila kitu, na wapo sahihi cause bila hivyo system nzima ya uongozi ita collapse,Crypto ni decentralized, watumiaji wake ndio wenye total control
Lakini hawajawahi sema Crypto sio salama
He's definitely from the jurassic era!He is a Dinosaur, and he is discombobulated with fast pace economy....
Shida yao na shida yako ni nini kama tunatumia hela zetu wenyewe kununua?Kwani China wamepigaje marufuku, unadhani BOT hawana taarifa ya transactions ya hela mnazonunua hizo coins?
kama unaona kitu kipo risky waachie wanaotaka kukitumia kuwa fursa, yeye kaona ni risky akae pembeni awaachie wanaotakaa kuchukua risksSpeculation will never be safe. Uwekezaji wa Kuvizia lini uingie na lini utoke sio uwekezaji.
Nasikitika unafikra kuwa akili ya prof haiwezi kuelewa simple concepts za crypto world.
There is no practical possibility ya any crypto coin Kuoverule fiat currency. Kiuchumi na kijamii wealth requires protection. Only a centralized System Can offer that.
Kuna mawili iwapo crypo coins zitatumika kama mbadala wa current currencies either the shark investors Will form their own protection blocks or chaos will arise. Either way haitakuwa na msaada kwa mabilioni ya wanadamu.
Well kutakuwa na swali pia la wealth redistribution au itashuhudiwa inequality ambayo haijawi kutokea.
Aise! Sio idadi ya gunia itaongezeka ila ni thamani ya mahindi itaongezeka. Kama ulinunua gunia 20 kwa Tsh30,000 kisha ukazihifadhi kwa mwaka mmoja huwezi jua utakuja ziuza kwa Tsh55,000 !!! Ndivyo crypto zilivyo sasa, haziongezeki idadi bali zinaongezeka thamani πYaani mtu ununue mahindi gunia 20 then uyahifadhi ghalani, baada ya mwaka ukute gunia 25.
πππ
Na ndio nlivomjibu, sema JF kila mtu ni mchumi yeye. Ila muda ni Mwalimu tosha.Aise! Sio idadi ya gunia itaongezeka ila ni thamani ya mahindi itaongezeka. Kama ulinunua gunia 20 kwa Tsh30,000 kisha ukazihifadhi kwa mwaka mmoja huwezi jua utakuja ziuza kwa Tsh55,000 !!! Ndivyo crypto zilivyo sasa, haziongezeki idadi bali zinaongezeka thamani π
Kabisa! Muda ni mwalimu tosha, wacha tusiongee sana kiongozi maana wanaeza tuita SCAMS aise.Na ndio nlivomjibu, sema JF kila mtu ni mchumi yeye. Ila muda ni Mwalimu tosha.
Wananchi na serikali wapi wenye nguvu dunia inapoelekea Watu wanataka wajiongoze wenyewe,serikAl inalazimisha lock down,inalazimisha chanjo sasa wananchi wanachoka wanatafuta uhuru wao binafsi, We nenda kapande maindi usubiri mvuaSpeculation will never be safe. Uwekezaji wa Kuvizia lini uingie na lini utoke sio uwekezaji.
Nasikitika unafikra kuwa akili ya prof haiwezi kuelewa simple concepts za crypto world.
There is no practical possibility ya any crypto coin Kuoverule fiat currency. Kiuchumi na kijamii wealth requires protection. Only a centralized System Can offer that.
Kuna mawili iwapo crypo coins zitatumika kama mbadala wa current currencies either the shark investors Will form their own protection blocks or chaos will arise. Either way haitakuwa na msaada kwa mabilioni ya wanadamu.
Well kutakuwa na swali pia la wealth redistribution au itashuhudiwa inequality ambayo haijawi kutokea.
Ndugu, unajua maana ya serikali Lakini?Wananchi na serikali wapi wenye nguvu dunia inapoelekea Watu wanataka wajiongoze wenyewe,serikAl inalazimisha lock down,inalazimisha chanjo sasa wananchi wanachoka wanatafuta uhuru wao binafsi, We nenda kapande maindi usubiri mvua
Cryptocurrency itakuja ila haitakuwa decentralized
Pili ingawa dunia itaingia kwenye mifumo ya block chain lakini usitegemee legal tender worldwide ikawa bitcoin, itakuwa ni mfumo wa digital currency ila sio hizo ambazo sasa hivi watu wanavuna. hakuna serikali itakayokubali kutokuwa na control of some sort
Wanachofanya BOT ni sahihi..., kama muhimili wa kuaminiwa haiwezekani ishauri watu kwenye mambo ya speculations..., kila mtu aende at their own risk..., kama Taifa hatuwezi kuingia kwenye Kamari
Huyu Profesa yuko smart sana ukianzia na muonekano wake ule wa nje tu. Maskini ameona huruma watu wake wanaweza kuiibiwa pesa!. Naona muda badoGavana wa benki kuu ya Tanzania Prof. Florens Luoga amesema wanachojua mpaka sasa ni kuwa sarafu za kidijitali sio salama. Aidha amesema kwamba hawawezi kusema ni lini watatoa maelekezo kwani bado wanafanya utafiti.
Watatoa kanuni na miongozo wakishamaliza endapo watakamilisha utafiti wao.
======
"As far as we know Crypto-currencies are not safe. We cannot give timelines when to issue regulations, we are still researching β we will give regulations when we have finished our research" - Prof. Florens Luoga, Governor, Bank of Tanzania.
SOURCE: Bank of Tanzania
Sasa kuongelea nchi unaongelea hio Banana Republic Mkuu nchi kama hio sitashangaa kama president mwenyewe hana Bitcoin za kutosha...Unaposema hakuna serikali itayo kubali bitcoin inaoneka uko nyuma kidogo kwenye mambo ya kimataifa... sio kosa lako na sikulaumu.. ila kuanzia sasa jua kwamba..
El Salvador kwa sasa ili kununua chakula au kulipia huduma yotote ya kijamii au kiuchumi unatumia BITCOIN.
Kwa lugha nyepesi kwa nchi ya El Salvador BITCOIN ndio legal tender yao.
Ndio unatumia hela zako kununua Ila madhara ya speculations yanapoibuka ni sekta zote za uchumi huathirika.Shida yao na shida yako ni nini kama tunatumia hela zetu wenyewe kununua?
Bukele(Rais WA hiyo nchi) ana miliki Pia bitcoins.Sasa kuongelea nchi unaongelea hio Banana Republic Mkuu nchi kama hio sitashangaa kama president mwenyewe hana Bitcoin za kutosha...
Kwahio nchi yenye gangstars wa kutosha na wasafisha pesa na waficha pesa kitu ambacho kinaweza kuwa anonymous na sio centralized kwao itakuwa ni Heaven on Earth...
Ila nchi ambayo inapenda kujua kinachoendelea hata itakapoingia kwenye Cryptocurrency itakuwa ni Crypto ambayo ni centralized na sio centralized kama Bit Coin Kwahio kwa Tanzania huenda tukawa na Tanzania Coin na sio any other coin..., Hii Bitcoin naiangalia zaidi kama Diamond / Gold kwamba ni asset fulani ila sababu hatujui kesho huenda hii so called Diamond / Gold kesho ikawa valueless tofauti na Diamond ambayo ina kazi nyingine zaidi ya cosmetic
Overview of El Salvador
Safety
- Violent crime, often involving guns and street gangs, is widespread. It increases at night. Don't travel alone or after dark. Gang-related crime is common. Gangs have killed police, bombed cars and public transport, and set grenades in public places. Pay close attention to your surroundings. Ensure your accommodation is secure.
- Petty crime is common around transport hubs and tourist areas. Safeguard your belongings.
- Road travel outside the capital, San Salvador, is dangerous. Criminals target highways and the road to the international airport. Plan to arrive or depart the airport during the day. Keep vehicle doors and windows locked.
- Protests and public gatherings can turn violent. Don't take part in any political activities. Authorities may detain or deport you.