Prof. Florens Luoga: Crypto-currencies are not safe as far as we know

Sir Jeff amewapiga watu biashara gani uliona Dalali hana hasara yeye anapata Tu lakini investor ni 100% Hasara
 
Wewe unajifananisha na Luoga kweli [emoji24][emoji24] hapo ndio mnapo onekana matapeli!!..Unajua BOT kuna wataalamu wangapi?!!.. Unadhani hizo benki binafsi ziko chini ya Nani?!!.
 
Huyu huyu aliyefanganya ana cancer na kila siku ana lalama kutapeliwa aisee kweli hii nchi yenu vipofu mpo wengi
 
He is a Dinosaur, and he is discombobulated with fast pace economy....

The guy is not fit to lead that institution because he does not understand the workings of the world economy and its pace!! He is talking about researching about the viability of the crypto currency while the Bank of Nigeria has already issued their digital currency!!! BOT needs a more dynamic leadership.
 
wakikujibu naomba niamshe
 
usidanganye watu not only Bitcoin... legal tender ya el salvador has always been USd, ila September hapo ndio wameadopt hilo along with USD claiming ataboost investment
 
Naona sasa hivi humtaki Jeff najua hukujua namjua vizuri kuliko huku kwenye mitandao!!..Humu sio wote mapoyoyo tulia acheni kujifanya mnajua mambo ambayo hamjui!!!
 
Wewe uko fit kwendesha BOT mbona unadanganya humu[emoji23][emoji23][emoji23] He is not fit kwasababu anajua hii mambo yenu (Fedha za kudownload) sio salama
 
Mimi siamini hawa maprofesa wetu, wanajua vitu vya kwenye vitabu kuliko uhalisia. We nchi mpaka leo Paypal wameifungia isipokee pesa. Bei za vitu zinapanda tu na hawajui jinsi ya kucontrol mfumko.
Mimi siwaamini hawa maprofesa wetu kwakweli.
 
Jiandae kisaikolojia mkuu. Tutaruka ruka lakini mwisho wa siku tutaishia kwenye bitcoin.
Yani piga ua garagaza, cryptocurrencies ndiyo future ya currency. Hofu tu ya serikali ni kwamba haziko centralized hiyo ndiyo hofu yao. Lakini hakuna namna lazima zitatake over.
 
Yani piga ua garagaza, cryptocurrencies ndiyo future ya currency. Hofu tu ya serikali ni kwamba haziko centralized hiyo ndiyo hofu yao. Lakini hakuna namna lazima zitatake over.
Zita take over kwahiyo unaona wote hatuna akili
 
Zita take over kwahiyo unaona wote hatuna akili
Zita take over, ingekuwa hivyo hata bitcoin ingekuwa ishafungiwa lakini sasa inazidi pata umaarufu. Juzi imevunja rekodi kwa transactions za bitcoin kubypass transactions za paypal. Sasa inaifukuzia mastercard na visa. Ni innevitable. Teknolojia haizuiliki ni muda tu.
 
Tatizo lenu mnajipa umashuhuri usio kuwepo yani kwasababu unajua au Baba yako ana nunua vipande kwenye Soko la Hisa ndio unakuja kudanganya hapa!!...Tuliza akili humu JF wako watu narudi hapa JF tupo watu na wewe na kikundi chenu wote na koo zenu mkichanganya mitaji yenu mnaweza kuwa hata robo hazifiki kwahiyo kaa Kwa kutulia Ndugu ili Soko la Hisa umejua juzi acha hizi mambo wewe narudia kaa Kwa kutulia humu sio wote zaizi yenu
 
Unayo biashara ya Forex au unasikia Tu [emoji23][emoji23]!!..Forex trading hii ni scam!!.. Hasara ni kubwa kuliko Faida!!..Hebu Chukua hebu Nunua Euro Crdb sasa hivi alafu uuze Absa uone kama utapata Hasara kama hii yenu !!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…