Prof. Issa Shivji: Nilihudhuria birthday ya Mwalimu, sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha

Prof. Issa Shivji: Nilihudhuria birthday ya Mwalimu, sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha

Sawa lkni huyu nae mda na siasa zimemuacha..Ujamaa imepitwa na wakati
 
Sawa lkni huyu nae mda na siasa zimemuacha..Ujamaa imepitwa na wakati
Hasira za kutoalikwa. Hawa wazee bado wanaishi miaka ya 80 wanashindwa kujiongeza hii ni 2021 jamii imebadilika kuna watu badala ya kubadilika wanataka mabadiliko yawafuate wao
 
Ukute Mzee Mwinyi alikua role model wa Mama Samia enzi akiwa hana hata ndoto ya uongozi. Hata ningekua mie ningetoa zawadi aiseee
Kwa pesa yako au kwa pesa ya serikali? Tena elewa kwa pesa ya Tanzania bara. Kabla haujaandika fikilia kwanza unachokiandika.

Hivi unajua pesa ya sherehe za Muungano iliyoahirishwa ziligawanywa nusu kwa nusu bara na visiwani? Hiyo ratio unaona iko sawa? Watu 60m kugawana nusu kwa nuau na watu laki8? Je na kuchangia pesa hiyo bara na visiwani walichangia sawa kwa sawa?
 
Kwenye nchi zenye wanaojielewa ilipaswa hata thamani ya hiyo gari iwekwe hadharani Umma ujue kodi zao zinavyotumika.

Kuna wananchi hata zahanati ya karibu hakuna vijijini huko...
Nchi itajazwa na mazahanati muache kua na mentality za ki peasant.
 
Ukute Mzee Mwinyi alikua role model wa Mama Samia enzi akiwa hana hata ndoto ya uongozi. Hata ningekua mie ningetoa zawadi aiseee
kodi za wanainch unaenda kutoa kama zawadi akusanye mshahara wake amnunulie benzi huyo role model wake
 
Nilihudhuria 70th (1992) birthday ya Mwalimu. Sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha. Alipokuwa anaondoka, mama mmoja kampa portrait yake aliyechora mama huyo mwenyewe. Akamambia msaidizi wake apokee. Zawadi ya Benz kwa Mzee wetu ikanishtua kidogo...
Tanzania ipo kwenye ombwe la uongozi
 
Kwa mujibu wa sheria tulizotunga wenyewe haya ni haki ya mstaafu tena gari 2 kubadilishiwa kila baada ya miaka 5 sasa mtu mzima ana miaka 96 usiposaidia leo utamsaidia lini? tusome kwanza sheria zetu tulizojiwekea wenyewe. zile nyumba JPM kawajengea kwa mujibu wa sheria kama sheria mbaya mkazibadilishe. mwacheni mzee apumzike tuacheni na viroho vya kwanini.
sheria za kishenzi kweli hizo
 
sheria za kishenzi kweli hizo
Ndio Tanzania, ila suala la kuwatuza viongozi wastaafau hasa Rais wa nchi dunia nzima wana taratibu zao ila wanatunzwa kisheria. tatizo baya zaidi kujikinga na mashtaka hata wakiwa walikosa na wameenda mpaka naibu speaker hii ni kosa kubwa lakini wakati yanajadiliwa haya nakumbuka wapinzania walipiga kelele ila ndio wengi wanashinda CCM wakapiga yes ikapita.
 
Hii nchi inaumiza sana. Viongozi hawapo Serious kabisa na maisha ya watanzania hawa maskini. Unampa mtu ambaye hajawahi kuwa na shida maisha yake yoye Zawadi ya Benzi lenye thamani ya Tsh Mil 450.

Mwinyi ambaye ana majumba,magari,na kila kitu na watoto wake wenyewe walikuwa hawashindwi kumpa zawadi kama hiyo. Mtoto wake ni Rais wa Zanzibar.

Ameona pesa za Wazanzibar zitumike kwenye mambo ya msingi ila kodi za Wabara mama Samia anaona zinafaa kumnunulia Ali H. Mwinyi Benz. Msomeni Prof. Shivji

Screenshot_20210509-140130~2.png
 
Ohoo,ndo prof.shivji amesema kama ulivyoandika wew,kama umenakili kutoka kwake , sawaaaa..
 
Hii nchi inaumiza sana. Viongozi hawapo Serious kabisa na maisha ya watanzania hawa maskini. Unampa mtu ambaye hajawahi kuwa na shida maisha yake yoye Zawadi ya Benzi lenye thamani ya Tsh Mil 450...
Hapo ndio ujue ile mentality ya viongozi toka pwani kulinganisha na wa bara kama mwandishi mmoja alivyochambua majuzi 🙄🙄
 
Back
Top Bottom