KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,249
- 5,863
Hasira za kutoalikwa. Hawa wazee bado wanaishi miaka ya 80 wanashindwa kujiongeza hii ni 2021 jamii imebadilika kuna watu badala ya kubadilika wanataka mabadiliko yawafuate waoSawa lkni huyu nae mda na siasa zimemuacha..Ujamaa imepitwa na wakati
Kwa pesa yako au kwa pesa ya serikali? Tena elewa kwa pesa ya Tanzania bara. Kabla haujaandika fikilia kwanza unachokiandika.Ukute Mzee Mwinyi alikua role model wa Mama Samia enzi akiwa hana hata ndoto ya uongozi. Hata ningekua mie ningetoa zawadi aiseee
Nchi itajazwa na mazahanati muache kua na mentality za ki peasant.Kwenye nchi zenye wanaojielewa ilipaswa hata thamani ya hiyo gari iwekwe hadharani Umma ujue kodi zao zinavyotumika.
Kuna wananchi hata zahanati ya karibu hakuna vijijini huko...
kodi za wanainch unaenda kutoa kama zawadi akusanye mshahara wake amnunulie benzi huyo role model wakeUkute Mzee Mwinyi alikua role model wa Mama Samia enzi akiwa hana hata ndoto ya uongozi. Hata ningekua mie ningetoa zawadi aiseee
hahah naye mhuni huyu profeseri.Issa Shivji nae kaanza kuongea?
Alivyo jifanya bubu wakati wa Magufuli? Keshasahau?
Shivji ni communist..failed ideology...
Tanzania ipo kwenye ombwe la uongoziNilihudhuria 70th (1992) birthday ya Mwalimu. Sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha. Alipokuwa anaondoka, mama mmoja kampa portrait yake aliyechora mama huyo mwenyewe. Akamambia msaidizi wake apokee. Zawadi ya Benz kwa Mzee wetu ikanishtua kidogo...
sheria za kishenzi kweli hizoKwa mujibu wa sheria tulizotunga wenyewe haya ni haki ya mstaafu tena gari 2 kubadilishiwa kila baada ya miaka 5 sasa mtu mzima ana miaka 96 usiposaidia leo utamsaidia lini? tusome kwanza sheria zetu tulizojiwekea wenyewe. zile nyumba JPM kawajengea kwa mujibu wa sheria kama sheria mbaya mkazibadilishe. mwacheni mzee apumzike tuacheni na viroho vya kwanini.
Ndio Tanzania, ila suala la kuwatuza viongozi wastaafau hasa Rais wa nchi dunia nzima wana taratibu zao ila wanatunzwa kisheria. tatizo baya zaidi kujikinga na mashtaka hata wakiwa walikosa na wameenda mpaka naibu speaker hii ni kosa kubwa lakini wakati yanajadiliwa haya nakumbuka wapinzania walipiga kelele ila ndio wengi wanashinda CCM wakapiga yes ikapita.sheria za kishenzi kweli hizo
Alijenga kwa hela zakeAlijenga nyumba za wastaafu wote
80% ya mshahara wa aliyepo madarakani. Magu alishusha mshahara wake ili kukabiliana na huo mzigo mzito, wanahudumiwa kwa kila kitu.
Yote haya si sahihi. Pesa za Wananchi zina utaratibu wake wa kutumika. Watanzania hatujielewi kabisa. Zile pesa hazitoi kwenye mshahara wake. Ni kodi zetu.Iwe alikuwa anagawa mapesa barabarani, naye kasema yeye na Jiwe kitu kimoja, what do you expect
Hapo ndio ujue ile mentality ya viongozi toka pwani kulinganisha na wa bara kama mwandishi mmoja alivyochambua majuzi 🙄🙄Hii nchi inaumiza sana. Viongozi hawapo Serious kabisa na maisha ya watanzania hawa maskini. Unampa mtu ambaye hajawahi kuwa na shida maisha yake yoye Zawadi ya Benzi lenye thamani ya Tsh Mil 450...
Take this down..Yani ulivoi-twist Habari,utamfanya Shivji anaonekane mbaya.Duh!