Prof Janabi anaweza kushinda nafasi ya WHO Africa?

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,042
Reaction score
6,854
What is happening ni kwamba Wamarekani waliiahidi Serikali ya Tanzania kuipa chanjo za magonjwa mbali mbali kwa masharti kwamba Tanzania lazima ikubali genetic experiments zifanyike on the Tanzanian population.
Yaani hizi genetic experiments zifanyike with no or limited monitoring by our own doctors.
Rais Samia Suluhu( it is claimed) amekataa hayo masharti.
Kwa hiyo Tanzania imekosa msaada wa hela nyingi kutoka Marekani.
 
Hivi hiyo amerika kwanini wasifanyane huko kwao hayo majaribu yao..?
 
Kiukweli Janabi ametufaa sana Muhimbili kuliko huko kwenye nafasi za uongozi WHO ambapo hakuna unachoweza kufanya kuna miongozo, kanuni na taratibu, yaani kiongozi yeyote anaweza kuongoza.

Mguso na faida chanya kwa jamii ya tanzania ni kubwa zaidi.ikiwa Janabi ataendelea na nafasi yake hapa nchini. Kwa kipindi alichokaa muhimbili ameweza kueleimisha wengi kuhusu athari za ulaji na mazoezi kwenye afya pemgine kuliko kiongozi mwingine yeyote wa afya.

Sio kila nafasi tunapaswa kuchukua, ile kama marehemu Ndugulile haikuwa riziki yake basi aidha angetafutwa mwingine au tungeachana nayo lakini kwa Janabi kumpeleka kule ni hasara kwa taifa.
 
What is happening ni kwamba Wamarekani waliiahidi Serikali ya Tanzania kuipa chanjo za magonjwa mbali mbali kwa masharti kwamba Tanzania lazima ikubali genetic experiments zifanyike on the Tanzanian population.
Yaani hizi genetic experiments zifanyike with no or limited monitoring by our own doctors.
Rais Samia Suluhu( it is claimed) amekataa hayo masharti.
Kwa hiyo Tanzania imekosa msaada wa hela nyingi kutoka Marekani.
Poppy,

"Extraordinary claims require extraordinary evidence" - Carl Sagan.

Janabi akishinda kiti cha WHO Africa nitaona WHO Africa haina vetting.

Janabi is full of pseudoscience. What helps him is that he mainly speaks Swahili online and not too many people outside East Africa speak Swahili.

Listen to this video.
 
Yani nurse asimamie majukumu ya WHO??..
Screenshot_20250418-213801.png
 
Ningekuwa na nafasi ya kuwa nae karibu ningemshauri atengeneze kwanza Cv yake ili msimu unaokuja ajaribu
 
Kiukweli Janabi ametufaa sana Muhimbili kuliko huko kwenye nafasi za uongozi WHO ambapo hakuna unachoweza kufanya kuna miongozo, kanuni na taratibu, yaani kiongozi yeyote anaweza kuongoza.

Mguso na faida chanya kwa jamii ya tanzania ni kubwa zaidi.ikiwa Janabi ataendelea na nafasi yake hapa nchini. Kwa kipindi alichokaa muhimbili ameweza kueleimisha wengi kuhusu athari za ulaji na mazoezi kwenye afya pemgine kuliko kiongozi mwingine yeyote wa afya.

Sio kila nafasi tunapaswa kuchukua, ile kama marehemu Ndugulile haikuwa riziki yake basi aidha angetafutwa mwingine au tungeachana nayo lakini kwa Janabi kumpeleka kule ni hasara kwa taifa.
Hata hapo Muhimbili Janabi ametupa kabobo za pseudoscience kibao.

Tatizo Tanzania watu wanaheshimu majina sana.
 
Back
Top Bottom