Kiukweli Janabi ametufaa sana Muhimbili kuliko huko kwenye nafasi za uongozi WHO ambapo hakuna unachoweza kufanya kuna miongozo, kanuni na taratibu, yaani kiongozi yeyote anaweza kuongoza.
Mguso na faida chanya kwa jamii ya tanzania ni kubwa zaidi.ikiwa Janabi ataendelea na nafasi yake hapa nchini. Kwa kipindi alichokaa muhimbili ameweza kueleimisha wengi kuhusu athari za ulaji na mazoezi kwenye afya pemgine kuliko kiongozi mwingine yeyote wa afya.
Sio kila nafasi tunapaswa kuchukua, ile kama marehemu Ndugulile haikuwa riziki yake basi aidha angetafutwa mwingine au tungeachana nayo lakini kwa Janabi kumpeleka kule ni hasara kwa taifa.