Prof Janabi asaidiwe. Ana tatizo la kisaikolojia. Hayupo sawa

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Huyu jamaa Serikali iingilie kati. Hayupo sawa. Its either anataka sana attention au ana tatizo kubwa la kisaikolojia. Hayupo sawa. Hakuna Taifa au Jamii inaweza ishi kwa huu Ujinga anao usema. Hii siyo diet ni ujinga. Na amedhoofu sana.

Your browser is not able to display this video.
 
Akipiga shoooo huwa raundi inaisha kweli???
 
Mkuu nadhani wewe ndo unamatatizo ya kisaikolojia. Professor Janabi ni hazina. Na siyo professor Janabi kila mtu ana jukumu la kuelimisha na kuhamasisha wengine kuhusu afya ya ulaji. Nenda Japan huko ujionee. Professor alazimishi taifa lazima kuishi maisha ya afya. Ndo maana IQ zetu dhoofu zina mushkel
 
Anatupotosha sana maana hiyo lishe labda uwe kwenye pension sio upo kwenye harakati za kushusha tairi ya scania ukiitafuta Tunduma.Anataka kutengeneza Taifa la watu wadhoofu mno.
Taifa la Al dhoof.... Hilo Taifa halitakuwa na nguvu kazi. Yaani angekuwa na akili angesisitiza watu wafanye mazoezi sana.siyo asubuhi wanywe chai kavu na maji.
 
Wewe una tatizo la Kisaikolojia kama yeye.hamna lishe ya namna hiyo. Huyu jamaa ana msongo wa mawazo na ana tatizo hayupo sawa. Ana tatizo kubwa la kisaikolojia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…