Prof Janabi asaidiwe. Ana tatizo la kisaikolojia. Hayupo sawa

Prof Janabi asaidiwe. Ana tatizo la kisaikolojia. Hayupo sawa

Huyu jamaa Serikali iingilie kati. Hayupo sawa. Its either anataka sana attention au ana tatizo kubwa la kisaikolojia. Hayupo sawa. Hakuna Taifa au Jamii inaweza ishi kwa huu Ujinga anao usema. Hii siyo diet ni ujinga. Na amedhoofu sana.

View attachment 3074304
Nadhani ufahamu siasa.

Siasa kwa nchi yetu ni mchezo mchafu.

Kuna watu wamewekwa kwa ajili ya kuwapumbaza watanzania kutokana na ujinga wao ili waendelee kushika madaraka.

Kuna ile kauli ya kipindi kile ya ELIMU, ELIMU ELIMU ilikuwa inatoa picha ya kwamba watanzania wengi wamenyimwa elimu ili watawala waendelee kutawala.
 
Anatupotosha sana maana hiyo lishe labda uwe kwenye pension sio upo kwenye harakati za kushusha tairi ya scania ukiitafuta Tunduma.Anataka kutengeneza Taifa la watu wadhoofu mno.
Nadhani pia anacho zungumza hakimuhusu kila mtu. Kuna watu kazi zao tu ni mazoezi, lkn kuna wale anatoka na gari kazini kiti cha kuzunguka na ac pembeni
 
Mkuu nadhani wewe ndo unamatatizo ya kisaikolojia. Professor Janabi ni hazina. Na siyo professor Janabi kila mtu ana jukumu la kuelimisha na kuhamasisha wengine kuhusu afya ya ulaji. Nenda Japan huko ujionee. Professor alazimishi taifa lazima kuishi maisha ya afya. Ndo maana IQ zetu dhoofu zina mushkel
Yaani wewe kwa akili yako kweli mtu awe anapiga chai ya rangi kavu asubuhi na mchana maji usiku tena kakikombe kingine?? Vitamin Protein Starch na mengineyo yatoke wapi??. Huyu kuna siku si nyingi atadondoka.
 
Huyu jamaa Serikali iingilie kati. Hayupo sawa. Its either anataka sana attention au ana tatizo kubwa la kisaikolojia. Hayupo sawa. Hakuna Taifa au Jamii inaweza ishi kwa huu Ujinga anao usema. Hii siyo diet ni ujinga. Na amedhoofu sana.

View attachment 3074304
Mtaani kwangu familia nyingi zinaishi hivyo, chai ya rangi na vitumbua viwili saa 5 asubuhi na saa 10 alasiri ugali bamia, imetoka hiyo wenyewe tunaita pasi ndefu.
 
Yaani wewe kwa akili yako kweli mtu awe anapiga chai ya rangi kavu asubuhi na mchana maji usiku tena kakikombe kingine?? Vitamin Protein Starch na mengineyo matoke wapi??. Huyu kuna siku si nyingi atadondoka.
Na hawatasema kama kadondoka
 
Hahaha...aisee hili swali limenichekesha lakini pia ni la muhimu sana
Sasa mkuu unajua nimejiuliza sana
Huwa anahimiza tusile sana
Kuna jamaa alisema wenye wake halafu unawaambia wale tende 2 kweli?
Sasa yeye naona kastaafu kote hata asipokula sawa tu
Ila sidhani hata kama anaweza jogging 🏃 let alone ......
 
Huyu jamaa Serikali iingilie kati. Hayupo sawa. Its either anataka sana attention au ana tatizo kubwa la kisaikolojia. Hayupo sawa. Hakuna Taifa au Jamii inaweza ishi kwa huu Ujinga anao usema. Hii siyo diet ni ujinga. Na amedhoofu sana.

View attachment 3074304
What? Kaa kimya. Huyu ni mtaalamu niliyeishi naye Marekani! Amefanya makubwa Marekani. Hili ndilo ttz letu wabongo huna akili yoyote unamkosoa Pro. Jababi! Acha. Ndio maana wasomi wanaondoka. Wanabaki mazombie kama wewe. Just stop it!
 
Ana mmotivate mkewe Sophia byanaku...kama sijakosea jina la mkewe..maa a mkewe alikua miss na yupo slim mpk leo hii..nadhani ndani kwao maji ndo yamedominate which is good..natamani kuiga hiyo hali sema njaa sasa haitaniacha salama
 
Yaani wewe kwa akili yako kweli mtu awe anapiga chai ya rangi kavu asubuhi na mchana maji usiku tena kakikombe kingine?? Vitamin Protein Starch na mengineyo matoke wapi??. Huyu kuna siku si nyingi atadondoka.
Bwege huyo hana akili.akiona amesema Janaba anadhani kila kitu ni sahihi. Janaba ana tatizo la afya na akili.
 
Back
Top Bottom