Prof Janabi asaidiwe. Ana tatizo la kisaikolojia. Hayupo sawa

Prof Janabi asaidiwe. Ana tatizo la kisaikolojia. Hayupo sawa

Huyu anawalenga watu wenye maisha ya kishua wanaokula Milo mitatu mpaka minne
Sisi masikini tukae kwa kutulia sababu mlo wenyewe ni mmoja kwa siku
Mimi sijaona chai ya asubuhi na mwezi sasa
Kwa hiyo huo ujumbe haunihusu
 
Anatupotosha sana maana hiyo lishe labda uwe kwenye pension sio upo kwenye harakati za kushusha tairi ya scania ukiitafuta Tunduma.Anataka kutengeneza Taifa la watu wadhoofu mno.
Uko sawa mkuu. Diet inategemea kazi unayofanya. Sedentary people inatakiwa wale kidogo. Wanaofanya kazi nzito, wanahitaki calories nyingi.
 
Watu wanaomtukana Prof. Janabi wengi wao ni overweight, kuanzia miaka 35 , na kuendelea kimsingi milo 2 Kwa siku inatosha, magonjwa mengi yasiyoambukiza Kwa binadamu ni matokeo ya mpangilio wa kile unachokula wewe, ndio maana kwenye miaka 60 , unashauriwa ule mara moja tu Kwa siku, zamani ni kweli watu walikula milo hata minne lakini mazingira hata ya maisha yaliruhusu chakula kutumika, watu walitembea hadi kilomita 30 Kwa mguu, kupasua kuni, kutwanga nafaka Kwa kinu, leo umbali tu wa mita 100 mtu ashapanda bajaji au bodaboda bado anaelimishwa haelewi
 
Anatupotosha sana maana hiyo lishe labda uwe kwenye pension sio upo kwenye harakati za kushusha tairi ya scania ukiitafuta Tunduma.Anataka kutengeneza Taifa la watu wadhoofu mno.
Ni kweli chakula kinategemeana na kazi na umri wa muhusika. Kwa kazi yake ya kukaa ambayo hata jasho halitoki aendelee kula hivyo. Na wenye shughuli zinazohitaji nguvu wataendelea kupata Milo sawia
 
Mkuu nadhani wewe ndo unamatatizo ya kisaikolojia. Professor Janabi ni hazina. Na siyo professor Janabi kila mtu ana jukumu la kuelimisha na kuhamasisha wengine kuhusu afya ya ulaji. Nenda Japan huko ujionee. Professor alazimishi taifa lazima kuishi maisha ya afya. Ndo maana IQ zetu dhoofu zina mushkel
Prof Janabi ana tatizo, namuunga mkono mleta hoja. Hiyo anayoiita diet inaweza kufanya kazi kwa sehemu ndogo sana ya population ya Tanzania. Nchi ambayo hata uhakika wa mlo kwa wengi ni tabu, unaanza na ngonjera za diet uchwara, nchi ambayo watu walio wengi wanaishi kwa kazi za suluba, unaleta maneno uchwara tu. Ukipata muda tafuta video clip za Dr. Chidi Ngwaba, huyu ndiye anaelezea masuala ya diet na madhara yake kwa uzuri kabisa
 
Naachia wajanja butu wa elimu. Pambaneni na Prof janabi kama mtaweza!
 
Wakati tunapambana kudhibiti Lishe duni na udumazi wa Akili, Mwili .

Yeye anafundisha kushinda njaaa 🤣

Diet sio kula Mara Moja au mbili Kwa siku.

Diet ni kula mlo kamili wenye virutubisho vyote na muda sahihi.

Unywe Chai, ule mchana, ule usiku.

Tena katikati ya Chai na mchana upate Walau tunda , na katikati ya Mchana na usiku unywe walau Maziwa au utafute Karanga.

Alafu mafundisho yake hayaangalii Umri, anayatoa kiujumla jumla .. Hawa mabinti na Vijana walioko umri wa upevukaji na uzalianaji wanahitaji kukaa kwelikweli , wazeee wanahitaji kula kwelikweli.
 
Naachia wajanja butu wa elimu. Pambaneni na Prof janabi kama mtaweza!
Issue sio kupambana naye, unachoshindwa kujua ni kuwa nchi hii kuna wataalamu wabobevu wa lishe, wanaojua mara 1000 ya huyo Janabi. Yeye ni mbobevu kwenye magonjwa ya moyo, apunguze ujuaji sasa. Hata mwonekano wake unaonyesha kuwa afya yake si nzuri sana.
 
Back
Top Bottom