Prof Janabi asaidiwe. Ana tatizo la kisaikolojia. Hayupo sawa

Umenichekesha
 
Janabi ni mgonjwa, yuko kwenye grid ya taifa kitambo na mashudu anabugia. Anatuonea wivu tu na afya zetu. Anataka na sisi tufubae kama yeye. SAY NO to that stupidity
 
Unahitaji tu kutumua common sense kuelewa huyu ana matatizo ya kiakili. Hayupo sawa. Hata huhitaji kuwa na darasa moja. Huyu ni muongo huo si mlo wa Taifa hili lenye utapiamlo. Alivyo tu amedhoofu. Hana nguvu hapo alipo.
 
Wewe sasa utakuwa na elimu gani?maana hata hujui mlo kamili una sifa gani. Hiyo chai ina virutubisho gani we bwege?hivi hujui hata maprofesa wana changamoto ya afya ya akili?wengi tu walipata ukichaa.
Ukiona mtu anazungumzia sana elimu jua kwenye familia anayotoka inawezekana yeye ndio wa kwanza kupata Elimu ya juu ila kwa watu Elimu ni kitu cha kawaida hawezi kuponda watu mitandaoni kuhusu Elimu wakati kuferi shule ni kuchagua wala sio kitu kigumu..
 
Wewe unaona Prof ana sia njema?
 
Unahitaji tu kutumua common sense kuelewa huyu ana matatizo ya kiakili. Hayupo sawa. Hata huhitaji kuwa na darasa moja. Huyu ni muongo huo si mlo wa Taifa hili lenye utapiamlo. Alivyo tu amedhoofu. Hana nguvu hapo alipo.
Hahahaha! Good luck na elimu yako! Naenda kulala
 
Sisi wengine tulijua hili zamani sana na ukitaka kujua fahamu kwa kuangalia picha zake za sasa na zamani..

Au niziweke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…