Prof. Janabi: Chama cha Figo Tanzania kitawasilisha pendekezo la kuvuna Figo za Marehemu

Idhini ya kuchukuwa viungo hutolewa na mwenye viungo vyake mapema sana, labda awe mtoto mdogo hapo watahusika wazazi.
Nchi nyingi Wakati unaomba leseni ya Udereva ,Kuna sehem unasign kama Organ donnor, ata South Africa wanafanya hivyo
 

Attachments

  • IMG_1128.jpeg
    66.4 KB · Views: 1
  • IMG_1129.jpeg
    35.3 KB · Views: 1
  • IMG_1130.png
    92.3 KB · Views: 1
  • IMG_1136.jpeg
    28.3 KB · Views: 1
  • IMG_1137.jpeg
    41.4 KB · Views: 1
  • IMG_1135.jpeg
    29.7 KB · Views: 1

Wabongo hawana elimu wala exposure wanaona ni jambo la ajabu. Bado wanataka kila kitu kiwe bure. Janabi anawazo zuri ila bongo bado haijafika huko bado ipo stone age.
 
Wabongo hawana elimu wala exposure wanaona ni jambo la ajabu. Bado wanataka kila kitu kiwe bure. Janabi anawazo zuri ila bongo bado haijafika huko bado ipo stone age.
Mkuu hawa watu utahangaika tu kuwafahamisha,unakuta mtu hajui kitu ila anabisha,na mwisho anaweza kukutukana tu.
 
HAKUNA CHA BURE.
acheni watu wazikwe na viungo vyao.
Kupandikiza mgonjwa atoe hela.ila mwenye figo ajitolee.umeona wapi?
Mgonjwa atatoa hela ya upasuaji ila figo ni bure, ndio maana inaitwa "donation". Mwenye figo yeye anakua ameshakufa kwahiyo hiyo figo hana kazi nayo tena.

Au we unataka marehemu alipwe hela aende nazo akhera?
 
Changamoto ni Elimu na utayari wa ndugu

Binafsi nimegundua tatizo la Elimu bado ni kubwa sana miongoni mwa Watanzania hasa waishio Vijijini.

Labda tuendelee kuhamasishana suala hili hata miaka 10 mfululizo huenda likapata uungwaji Mkono

Pia tuendelee kuhamasisha jamii yetu kuacha matendo hatarishi yanayoweza kuhatarisha Figo zetu

Kuna mabinti na Vijana wa kiume wanakula pombe Kali utasema hawana kesho yao

Pia Matumizi ya vidonge za mara Kwa mara, mtu anaugua mafua tu tayari anameza dawa 🙌
 
Itakuwa KIZAA ZAA NA SEKE SEKE.
 
Kweli kabisa pombe na hizi Energy Drinks ni janga la taifa
 
"...wanaweka bure hizo figo" ni tungo tata; kwa maana inaweza kuwa gharama za kupandikiza figo au gharama za figo yenyewe au hata yote kwa pamoja! Unazungumzia kipi kati ya hayo?!
Huyo mgonjwa wa figo anawekewa bure?baada ya mimi kutoa figo?kama anatoa hela kwanini kiasi kadhaa kisiende kwa ndugu zangu?ikiwa huyo mgonjwa anawekewa figo na hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…