Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
nipo kwenye ABOOD hapa... tumeingia MSOLWA... watu wamerudi na Mazagazaga wanakulaIla kuna Watu wanapenda sana kulakula. Hilo utaliona hasa unaposafiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nipo kwenye ABOOD hapa... tumeingia MSOLWA... watu wamerudi na Mazagazaga wanakulaIla kuna Watu wanapenda sana kulakula. Hilo utaliona hasa unaposafiri
Kibiologia wanga inabidi uwe processed ili uwe sukari (simple sugar).Sukari na Wanga????
Si Ukishataja Sukari umetaja Wanga.
Kula mara mbili ugali wa watu 6 na bakuli la uji kama maji ya kunywa ni umekula mara 12.Inategemea na aina ya chakula unachokula, Unaweza kuwa unakula mara 2 ila quality na quantity ya chakula chako ukampita mtu anayekula milo 4.
Huyu na pastor makenzie lao moja .Kama sikosei pia aliwahi sema kunywa maji kwa wingi ni hatari pia.
Sasa kipande cha samaki kimoja na baby spinach majani matatu utasimamisha nini hapo??Next question to him akijitokeza kwenye media[emoji1]
Ndio maji mengi sana yanatoa madini kwa wingi na kusababisha kushuka kwa pressure ya damu.Kama sikosei pia aliwahi sema kunywa maji kwa wingi ni hatari pia.
Nipe ratiba mtani...maana karibia nitafungwa putoBinafsi huwa ninawashangaa sana watu wanaokula zaidi ya mara 4 kwa siku. Binafsi ninakula mara 2 tu kwa siku.
Kabisaaa....huu utaaalamu ndo unazidi kuangamiza watu...cha msingi angalia mwili wako unakuaje katika hali tofauti tofauti...ujue mwili wako unapoanza kunenepa...au kukonda kupita kiasi uanze kujicontrolKiasi cha chakula kinachohitajika mwilini inategemea mambo mengi ikiwemo kazi anazofany mtu.
Kukaa ofisini tu hata ukivusha hakuna tatizo tofauti na mkoroga zege.
Pia umri, Hali ya mwili, no.
Mafuta pia ni muhimu Kama mlo hauna mafuta virutubisho ndani ya mboga za Majani havichukuliwi mwilini hata baadhi ya dawa.
Kwa hiyo watu wawe makini na ushauri kama huu.
Mimi nikila asubuhi/mchana, ni mpaka jioni. Nashukuru baada ya kupunguza idadi ya milo, hata uzito wangu umebakia palepale.Nipe ratiba mtani...maana karibia nitafungwa puto
Ndio wanazungumza general sana kiasi kwamba wote tuna mahitaji sawa.Kabisaaa....huu utaaalamu ndo unazidi kuangamiza watu...cha msingi angalia mwili wako unakuaje katika hali tofauti tofauti...ujue mwili wako unapoanza kunenepa...au kukonda kupita kiasi uanze kujicontrol
Mkuu huyo ni Profesa ujue, tena wa medical field usifanye masihara kabisa na hao watu muheshimu tafadhali.Prof naye ana upuuzi mwingi. Kusoma sana si kuwa na uelewa. Kula kuna ratiba zake na mwili unataka kula.
Mm nilidhani ni macho yangu...he is not well...kama ndo anaona hiyo ni afya sisi tunakataa...kila kitu yy anaona kibaya..Ndio wanazungumza general sana kiasi kwamba wote tuna mahitaji sawa.
Yeye mwenyewe ukimuangalia lazima yupo chini ya uzito stahiki...hana afya ya kawaida...hana nuru kabisa.
Njemba imejua umekauka pochi...kumbe ni ka utaratibu kako..mm nakula yani usiku ndo siwezi kuacha jamani ndo njaa inauma mnoo nashukuru Mwili wangu unanielewa la sivyo ningekua ka sub marin...Mimi nikila asubuhi/mchana, ni mpaka jioni. Nashukuru baada ya kupunguza idadi ya milo, hata uzito wangu umebakia palepale.
Na hapo ninakula chakula cha kushiba (mchana) na cha wastani usiku. Na hii ni kwa kweli ni ratiba yangu binafsi niliyo jipangia. Na haihusiani na kukosa hela kama njemba moja ilivyo niponda hapo juu.
Maarifa yamemzidi yule nitacontrol mwili hasa kupitia mazoezi kuchoma sukari nikiyokula huku nikijenga mwili wa kiume💪.Mm nilidhani ni macho yangu...he is not well...kama ndo anaona hiyo ni afya sisi tunakataa...kila kitu yy anaona kibaya..
[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba yeye kakondeana mpaka mishipa ya usoni imemtokaIla Prof Janabi ni kama anataka tukonde kama yeye...
Wapi maindi ya kuchemsha na mayai...nipo kwenye ABOOD hapa... tumeingia MSOLWA... watu wamerudi na Mazagazaga wanakula