Prof. Janabi: Kitu hatari zaidi ni sukari na wanga. Ataka watu kula wakihisi njaa kwani mwili hauendeshwi na ratiba ya chakula

Inategemea na aina ya chakula unachokula, Unaweza kuwa unakula mara 2 ila quality na quantity ya chakula chako ukampita mtu anayekula milo 4.
Kula mara mbili ugali wa watu 6 na bakuli la uji kama maji ya kunywa ni umekula mara 12.
 
Kiasi cha chakula kinachohitajika mwilini inategemea mambo mengi ikiwemo kazi anazofany mtu.
Kukaa ofisini tu hata ukivusha hakuna tatizo tofauti na mkoroga zege.
Pia umri, Hali ya mwili, no.
Mafuta pia ni muhimu Kama mlo hauna mafuta virutubisho ndani ya mboga za Majani havichukuliwi mwilini hata baadhi ya dawa.
Kwa hiyo watu wawe makini na ushauri kama huu.
 
Kabisaaa....huu utaaalamu ndo unazidi kuangamiza watu...cha msingi angalia mwili wako unakuaje katika hali tofauti tofauti...ujue mwili wako unapoanza kunenepa...au kukonda kupita kiasi uanze kujicontrol
 
Nipe ratiba mtani...maana karibia nitafungwa puto
Mimi nikila asubuhi/mchana, ni mpaka jioni. Nashukuru baada ya kupunguza idadi ya milo, hata uzito wangu umebakia palepale.

Na hapo ninakula chakula cha kushiba (mchana) na cha wastani usiku. Na hii ni kwa kweli ni ratiba yangu binafsi niliyo jipangia. Na haihusiani na kukosa hela kama njemba moja ilivyo niponda hapo juu.
 
Kabisaaa....huu utaaalamu ndo unazidi kuangamiza watu...cha msingi angalia mwili wako unakuaje katika hali tofauti tofauti...ujue mwili wako unapoanza kunenepa...au kukonda kupita kiasi uanze kujicontrol
Ndio wanazungumza general sana kiasi kwamba wote tuna mahitaji sawa.
Yeye mwenyewe ukimuangalia lazima yupo chini ya uzito stahiki...hana afya ya kawaida...hana nuru kabisa.
 
Sure mm formula hyo imenisaidia sana aisee,,yaan nakula nikihisi njaa tu,,kama njaa haiumi sijisumbui kabsa...nilikuwa na 75kg asaivi nina 68kg...nimekuwa mwepesi kinoma na upelekaji moto umeongezeka[emoji23]
 
Ndio wanazungumza general sana kiasi kwamba wote tuna mahitaji sawa.
Yeye mwenyewe ukimuangalia lazima yupo chini ya uzito stahiki...hana afya ya kawaida...hana nuru kabisa.
Mm nilidhani ni macho yangu...he is not well...kama ndo anaona hiyo ni afya sisi tunakataa...kila kitu yy anaona kibaya..
 
Mimi nikila asubuhi/mchana, ni mpaka jioni. Nashukuru baada ya kupunguza idadi ya milo, hata uzito wangu umebakia palepale.

Na hapo ninakula chakula cha kushiba (mchana) na cha wastani usiku. Na hii ni kwa kweli ni ratiba yangu binafsi niliyo jipangia. Na haihusiani na kukosa hela kama njemba moja ilivyo niponda hapo juu.
Njemba imejua umekauka pochi...kumbe ni ka utaratibu kako..mm nakula yani usiku ndo siwezi kuacha jamani ndo njaa inauma mnoo nashukuru Mwili wangu unanielewa la sivyo ningekua ka sub marin...
 
Back
Top Bottom