Prof. Janabi: Kujifungua Mtoto 'Bonge' si nzuri Kiafya

Prof. Janabi: Kujifungua Mtoto 'Bonge' si nzuri Kiafya

Huyu profesa akiona amesahaulika anaibuka na jambo fulani la kutisha, baadaye utasikia kufanya mazoezi ni mbaya kwa afya au ulaji wa matunda unadhoofisha moyo na kutanua mishipa
Bahati mbaya sasa ulichoandika ni kama unatania au unatoa mfano wa kubeza lakini huo ndio ukweli.

Ufanyaji wa mazoezi kupitiliza una hatari ya kusababisha presha, kiharusi na pia kupelekea mmomonyoko wa misuli 'rhabdo' ๐Ÿฅฒ
 
Huyu profesa akiona amesahaulika anaibuka na jambo fulani la kutisha, baadaye utasikia kufanya mazoezi ni mbaya kwa afya au ulaji wa matunda unadhoofisha moyo na kutanua mishipa
Walishasema hiyo ya mazoezi....kukimbia Jogging ni mbaya Kwa afya ...Kuna Moshi wa magari na vumbi barabarani.... sijui wanataka tukimbie sebuleni.....
 
Back
Top Bottom