T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Unauliza kwa kejeli ila kunywa maji mengi kupitiliza ni hatari kwa afya.Kwahiyo yeye ndio mtaalam peke yake? Ukinywa maji mengi yana shida gani sasa?
Kwa taarifa yako kila kitu kizuri mwilini kinahitaji kiasi, sio excess.
Hata Oxygen gas hii tunayovuta nayo haitakiwi kuzidi inabidi ichanganyike kidogo na hewa nyingine. Ukivuta Oxygen ikiwa peke yake 100% unapata Oxygen poisoning na unaweza kufa.
Sasa wasiojua wanabisha na kuleta ujuaji kwenye afya. Professor halazimishi mtu yeye kafanya kazi yake, asiyetaka kufuata aache sio kesi.