Prof. Janabi: Kujifungua Mtoto 'Bonge' si nzuri Kiafya

Prof. Janabi: Kujifungua Mtoto 'Bonge' si nzuri Kiafya

Prof kilaza. Uzito gani mi sahihi kwa mtoto kuzqliwa nao. Maana under 2.5kg mnasemanga njiti. Haya leo unasema tena 4 kg ni over weight. Are mad. I think you should visit the native doctor for urine test incantation
 
My country pipo[emoji23]
Screenshot_20231214-125846.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Another one from Professor View attachment 2843098
Maoni yangu binafsi
huyu Prof awekewe brake, amegeuza udakitari sehemu ya kuchambana, anawajengea wananchi hofu kwenye maisha yao, japo kwake anagain cheap popularity, nahisi pia anatafuta umaarufu wa mitandaoni

Nafahamu alisoma huko nje, nafahamu pia alikua dakitari na swahiba wa Rais mstaafu, nafahamu pia........
Lakini hana mamlaka ya ku conclude kuhusu afya za watu, kuna watu ni wembamba tu lakini pressure yao, kisukari Chao, japo nafahamu anamaanisha ukiwa mnene unaongeza risks, sasa je anataka watu wanene genetically wajione walikosea kuumbwa, yeye amshukuru tu mungu yuko hivyo alivyo lakin asibeze wengine ambao hawawez kupunguza maumbile yao kirahisi , otherwise yeye angei insist tu mazoezi na diet lakin si kutaka dunia nzima watu wafanane,

Nafikiri pia anatafuta umaarufu wa kwenye mitandao kwa kuzingatia hali ya sasa ya dunia, na amewin
mimi ni mwembamba kiasi kama yeye lakini sifurahii namna amekuwa mtu wa kuconclude masuala ya kiafya, kama ana wakubwa zake wamshauri tu, uprofessor si mwisho wa kila kitu,
Au wampe nafasi ya Mobhare Matinyi, au ile ya Ummy Mwalimu, anaonekana ndiyo kazi anayoiweza vizuri kwa sasa, amekua na matamko yanayofuatana kuna nn nyuma yake..? akili kumkichwa
 
Mtoto akitoka mdogo nayo inakuwa nafuu kwa mama kusukuma, sasa akiwa bonge si ndio maumivu makubwa ikiwemo kuchanika msamba? Wamama wale vyakula bora wakati wakiwa wajawazito
Kweli kabisa.yaani unasukuma Kama jiwe.
 
Back
Top Bottom