Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeambiwa ana miaka 97 halafu unataka bebi fesi?Kwa hizo mbinu ningetegemea Janabi awe na babe face lakini yeye ndio amekongoroka na ngozi kupauka kama ya marehemu ama kama vile ana miaka 90.
Janabi aache watu waishi. Kuchukua tahadhari za kawaida kwenye maisha ni jambo jema ila Janabi anataka tuwe extreme, ngozi zetu zikose nuru kama marehemu haiwezekani.
Kwani professor Janabi ana miaka migapi? Mbona yeye mwenyewe kazeheka?Mkurugenzi mtendaji wa hospitali kuu ya taifa ya Muhimbili, Profesa Janabi ameelezea mbinu za kuepuka kuzeeka mapema ambapo ameelezea kama ifuatavyo;
1. Tembea hatua 10,000 kwa siku
2. Kula kwa wastani
3. Punguza wanga
4. Epuka vitu vyenye sukari
5. Epuka sigara, pombe
7. Pata muda kidogo wa kupumzika
Akaongezea, vitu hivyo haviitaji hata senti 5 ya gharama. Akasema tena watu hawafi kwa sababu ni wazee, watu wanakufa kwa sababu ni wagonjwa, ukisoma vitabu vya dini watu walikuwa wanaishi miaka zaidi ya 100.
Leo hii unaweza kukutana na mtu anamiaka 40 na mwingine 30 ukafikiri yule mwenye miaka 30 ndio ana miaka 45.
Sikiliza zaidi.
View attachment 2955861
Mkuu mimi napenda mazoeziUtakomaa bure tu kukimbia kilomita 5 mara tatu kwa wiki inatosha kbs....
INAWEZEKANA ANACHEKESHAMkurugenzi mtendaji wa hospitali kuu ya taifa ya Muhimbili, Profesa Janabi ameelezea mbinu za kuepuka kuzeeka mapema ambapo ameelezea kama ifuatavyo;
1. Tembea hatua 10,000 kwa siku
2. Kula kwa wastani
3. Punguza wanga
4. Epuka vitu vyenye sukari
5. Epuka sigara, pombe
7. Pata muda kidogo wa kupumzika
Akaongezea, vitu hivyo haviitaji hata senti 5 ya gharama. Akasema tena watu hawafi kwa sababu ni wazee, watu wanakufa kwa sababu ni wagonjwa, ukisoma vitabu vya dini watu walikuwa wanaishi miaka zaidi ya 100.
Leo hii unaweza kukutana na mtu anamiaka 40 na mwingine 30 ukafikiri yule mwenye miaka 30 ndio ana miaka 45.
Sikiliza zaidi.
View attachment 2955861
Pamoja na kumkandia koote ulikofanya bado kwa mujibu wa sayansi lishe yuko sahihi 💯 percent penda usipende. Angalia maisha ya Wajapan wanavyoishi vizuri na muda mrefu kwa sababu ya kujali sana ulaji sahihi wa vyakula. Mwisho kwa kuwa pia kama jamii tuna tatizo kubwa la elimu na ujinga ni vigumu sana kumuelewa Prof Janabi, na pia wanaosoma comments kama hii ya kwako ndiyo kwanza wanazidi kuchota ujinga.Kwa hizo mbinu ningetegemea Janabi awe na babe face lakini yeye ndio amekongoroka na ngozi kupauka kama ya marehemu ama kama vile ana miaka 90.
Janabi aache watu waishi. Kuchukua tahadhari za kawaida kwenye maisha ni jambo jema ila Janabi anataka tuwe extreme, ngozi zetu zikose nuru kama marehemu haiwezekani.
Kuna comment nilikuwa naitafuta na mwanasheria wanguKwa hizo mbinu ningetegemea Janabi awe na babe face lakini yeye ndio amekongoroka na ngozi kupauka kama ya marehemu ama kama vile ana miaka 90.
Janabi aache watu waishi. Kuchukua tahadhari za kawaida kwenye maisha ni jambo jema ila Janabi anataka tuwe extreme, ngozi zetu zikose nuru kama marehemu haiwezekani.
Mkuu umeongea vizuri sana. Kiukweli hakuna kitu kibaya kama kukosa elimu/ujinga, no wonder Nyerere mapema sana alibaini kwamba ujinga ni adui mkubwa sana kwenye taifa letu, unfortunately 60 years baada ya kauli yake hiyo bado adui ujinga tunaye.Na hapa ndipo tunapokosea,
Msomi mshauri anayetoa elimu kwa uzoefu wake tena bila gharama.
Vyema kuchukua hatua sasa kuliko kusubiri udhaifu ukuvae
Da hivi ni kwanini ninajirani yangu nilimuazima 250000 muislamu kwa miezi 2 bure bila riba yy siku moja namuomba aniazime 5000 akachomoa da bahati nzuri napigaga tungi kwa jina la tungi nikamsameheSema mtu asipokunywa pombe anakuwa na karoho kabaya kamejikunja muda wote korosho ikasome
ila Kuna kaukwel ngozi haina Nuru yeye mwenyewe...kimuonekano Hana siha njema kiafya ni kama ana kaugonjwa kalichojificha ndani yake hilo la ngozi kama marehemu ni kwl kabisa!Kwa hizo mbinu ningetegemea Janabi awe na babe face lakini yeye ndio amekongoroka na ngozi kupauka kama ya marehemu ama kama vile ana miaka 90.
Janabi aache watu waishi. Kuchukua tahadhari za kawaida kwenye maisha ni jambo jema ila Janabi anataka tuwe extreme, ngozi zetu zikose nuru kama marehemu haiwezekani.