lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
Amekongoroka mno we unamuonajeNa hapa ndipo tunapokosea,
Msomi mshauri anayetoa elimu kwa uzoefu wake tena bila gharama.
Vyema kuchukua hatua sasa kuliko kusubiri udhaifu ukuvae
Mkuu?..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekongoroka mno we unamuonajeNa hapa ndipo tunapokosea,
Msomi mshauri anayetoa elimu kwa uzoefu wake tena bila gharama.
Vyema kuchukua hatua sasa kuliko kusubiri udhaifu ukuvae
Hili lina ukweli lakini..jamaa hatuhamasishi kabisa..au ni MGONJWA?Amekongoroka mno we unamuonaje
Mkuu?..
Yaani Mkuu inakuwa kama Kuna kaugonjwa kamejificha na ule mdomo ulivyokaa Kaa mhhhh Kuna kaukakasi na afya yake aseeHili lina ukweli lakini..jamaa hatuhamasishi kabisa..au ni MGONJWA?
Mapete ya maagano hayoKwahiyo Janabi hapo alipo anajiona kijana? Eti wote ndio tunaelekea huko kwenye uzee 😀😀
BTW Janabi nilikuwa namuona mjanja kumbe nae anavaa hayo mapete ya Kiswahili? He is cancelled.
Wanywa pombe wanamuda mwingi wa kufurahi na kupeana ofa za bia huku wakifunguka kuyaongea mambo yao na mengine.Sana,sijui kwa nini
Pete!!?Kwahiyo Janabi hapo alipo anajiona kijana? Eti wote ndio tunaelekea huko kwenye uzee 😀😀
BTW Janabi nilikuwa namuona mjanja kumbe nae anavaa hayo mapete ya Kiswahili? He is cancelled.