Prof. Janabi: Mbinu za kuepuka kuzeeka mapema

Umeambiwa ana miaka 97 halafu unataka bebi fesi?
 
Kwani professor Janabi ana miaka migapi? Mbona yeye mwenyewe kazeheka?
 
Kuna watu wasiohusika ndoa wanamtolea povu janabi kwa kuwaeleza ukweli wa life style zao mbaya. Wanajilia na kunywa huku hawajui miili yao inahitaji chakula kiasi gani. Hapa walala hoi hawahusiki
 
Ukifanya mazoezi, ukaacha kula vya kula vya wanga na sukari, ukala mara moja kwa siku. Ukawa unapuzika masaa nane kila usiku. Mwisho wa siku bado
utakufa.
 
Uishi miaka mingi au michache hapa duniani hakuna faida yoyote.
Yaani ni sawa na mtu anayekula chakula kizuri na kibaya wote mtaenda chooni.
Kama wote tutakufa maisha yafaa nini sasa mpaka tuanze kutishana.
Kwamba ukifa kwa kuchelewa kuna faida utaipata hapa duniani?
 
Hapo kwenye wanga na kiepe nacho si kipo,mbona ana Hinda huyu babu.
 
Janabi ashukuru Mungu ana uhakika wa huduma ya afya tofauti na hapo ile afya yake sio kabisa
 
INAWEZEKANA ANACHEKESHA
 
Pamoja na kumkandia koote ulikofanya bado kwa mujibu wa sayansi lishe yuko sahihi 💯 percent penda usipende. Angalia maisha ya Wajapan wanavyoishi vizuri na muda mrefu kwa sababu ya kujali sana ulaji sahihi wa vyakula. Mwisho kwa kuwa pia kama jamii tuna tatizo kubwa la elimu na ujinga ni vigumu sana kumuelewa Prof Janabi, na pia wanaosoma comments kama hii ya kwako ndiyo kwanza wanazidi kuchota ujinga.
 
Kuna comment nilikuwa naitafuta na mwanasheria wangu
 
Na hapa ndipo tunapokosea,
Msomi mshauri anayetoa elimu kwa uzoefu wake tena bila gharama.
Vyema kuchukua hatua sasa kuliko kusubiri udhaifu ukuvae
Mkuu umeongea vizuri sana. Kiukweli hakuna kitu kibaya kama kukosa elimu/ujinga, no wonder Nyerere mapema sana alibaini kwamba ujinga ni adui mkubwa sana kwenye taifa letu, unfortunately 60 years baada ya kauli yake hiyo bado adui ujinga tunaye.
 
Sema mtu asipokunywa pombe anakuwa na karoho kabaya kamejikunja muda wote korosho ikasome
Da hivi ni kwanini ninajirani yangu nilimuazima 250000 muislamu kwa miezi 2 bure bila riba yy siku moja namuomba aniazime 5000 akachomoa da bahati nzuri napigaga tungi kwa jina la tungi nikamsamehe
 
ila Kuna kaukwel ngozi haina Nuru yeye mwenyewe...kimuonekano Hana siha njema kiafya ni kama ana kaugonjwa kalichojificha ndani yake hilo la ngozi kama marehemu ni kwl kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…