MONEY IS NOT EVERYTHING
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 424
- 765
Pr Janabi katika harakati zake za kuokoa afya ya Watanzania hapa amefeli...Watanzania wengi tunapenda vitu vitamu maana tunaamini huko tuendako hatutavikuta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii akili kimkichwa ukiyasikiliza unaweza kusema hakuna kinachostaili kulaAnaweza tuambia ajala ugali zaidi ya miaka 10 huyu ila aya majuisi ovyoo

Eti sura yake haina nuru 😀😀😀😀 muacheni Prof JanabiNdiyo maana uso wake hauna nuru, mtu gani Kila kitu yeye hataki tule
Juice hataki tunywe
Nyama hataki tule
Samaki hataki tule
Biryani hataki tule
Beer hataki tunywe
Ugali hataki tule
Juzi nilikuwa mitaa ya Ofisi yake, nilikuwa nimeagiza wali Samaki na kachumbali, kuona anakaribia kwenye Meza yangu akafanya hadi nizuge chakula hakikua changu maana alishaanza kunipa risala zake 🙌
Sasa sijui anataka tufe na njaa kabisa ama nini 🙌
"Hili nalo mkalitizame"Wakuu!
Mmemsikia Prof. Mohamed Janabi, akiendelea kutupa madini ya kuzidi kulinda afya zetu? Ila hili limeniacha mdomo wazi kidogo kuhusu kunywa juice ambayo tuaamini ni sehemu ya kuboresha afya tena zile juice za kutengeneza mwenyewe.
==================
MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi, amesema ulaji wa chakula cha kila siku ndio unaotafsiri afya ya sasa na baadae, na kwamba walio na umri kuanzia miaka 35 ama 0 na kuendelea kuwa makini na aina ya mlo.
“Binafsi huwa sinywi juisi iliyotengenezwa au iliyotokea viwandani ni takribani miaka 20 tangu mwaka 2000. Sichanganyi matunda, nakula asubuhi tunda moja labda ndizi, mchana peazi na usiku kipande cha papai,” ameongeza.
“Jamii ibadili mtazamo kwamba uwekezaji wa maisha ya baadae, unaegemea kwenye uwekezaji wa mali, bali hatua hiyo inahitajika kwenye afya pia.”
Soma Pia: Tukifuata ushauri wa Professor Janabi tutaangamia kwa njaa
Prof. Janabi ambaye pia ni daktari bingwa wa magonjwa ya moyo, anayasema hayo kupitia ukurasa wake wa kijamii kuhusu maisha bora, ikiwa ni mwendelezo wa elimu kwa umma, kuepukana na magonjwa yasiyoambukiza (NCDs) kama vile kisukari, presha na saratani.
Maisha hayako fair, unajitesa hivi ukilinda afya unakuja angukiwa na ghorofa dah.Wakuu!

Unamuogopa Professor?...Ndiyo maana uso wake hauna nuru, mtu gani Kila kitu yeye hataki tule
Juice hataki tunywe
Nyama hataki tule
Samaki hataki tule
Biryani hataki tule
Beer hataki tunywe
Ugali hataki tule
Juzi nilikuwa mitaa ya Ofisi yake, nilikuwa nimeagiza wali Samaki na kachumbali, kuona anakaribia kwenye Meza yangu akafanya hadi nizuge chakula hakikua changu maana alishaanza kunipa risala zake 🙌
Sasa sijui anataka tufe na njaa kabisa ama nini 🙌
Huwa anatania kuhusu ulaji wetu, kwahiyo ndiyo maana nilifanya vileUnamuogopa Professor?...
Mtu gani hataki tule Sato wa makange, eti tutanenepa sana ndiyo maana hapati Nuru usoniEti sura yake haina nuru 😀😀😀😀 muacheni Prof Janabi
Ndiyo maana uso wake hauna nuru, mtu gani Kila kitu yeye hataki tule
Juice hataki tunywe
Nyama hataki tule
Samaki hataki tule
Biryani hataki tule
Beer hataki tunywe
Ugali hataki tule
Juzi nilikuwa mitaa ya Ofisi yake, nilikuwa nimeagiza wali Samaki na kachumbali, kuona anakaribia kwenye Meza yangu akafanya hadi nizuge chakula hakikua changu maana alishaanza kunipa risala zake 🙌
Sasa sijui anataka tufe na njaa kabisa ama nini 🙌
Unafanya diet, unatoka unagongwa na gari unakufa. Au unaenda kibaruani kwako unaangukiwa na jengo unakufa 😒Kufa kupo palepale....
Kanajitesa tu
Wakuu!
Mmemsikia Prof. Mohamed Janabi, akiendelea kutupa madini ya kuzidi kulinda afya zetu? Ila hili limeniacha mdomo wazi kidogo kuhusu kunywa juice ambayo tuaamini ni sehemu ya kuboresha afya tena zile juice za kutengeneza mwenyewe.
==================
MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi, amesema ulaji wa chakula cha kila siku ndio unaotafsiri afya ya sasa na baadae, na kwamba walio na umri kuanzia miaka 35 ama 0 na kuendelea kuwa makini na aina ya mlo.
“Binafsi huwa sinywi juisi iliyotengenezwa au iliyotokea viwandani ni takribani miaka 20 tangu mwaka 2000. Sichanganyi matunda, nakula asubuhi tunda moja labda ndizi, mchana peazi na usiku kipande cha papai,” ameongeza.
“Jamii ibadili mtazamo kwamba uwekezaji wa maisha ya baadae, unaegemea kwenye uwekezaji wa mali, bali hatua hiyo inahitajika kwenye afya pia.”
Soma Pia: Tukifuata ushauri wa Professor Janabi tutaangamia kwa njaa
Prof. Janabi ambaye pia ni daktari bingwa wa magonjwa ya moyo, anayasema hayo kupitia ukurasa wake wa kijamii kuhusu maisha bora, ikiwa ni mwendelezo wa elimu kwa umma, kuepukana na magonjwa yasiyoambukiza (NCDs) kama vile kisukari, presha na saratani.
Ha haaaa haaa. Hadi ulizuga chakula sio chako!? Kazi ipoNdiyo maana uso wake hauna nuru, mtu gani Kila kitu yeye hataki tule
Juice hataki tunywe
Nyama hataki tule
Samaki hataki tule
Biryani hataki tule
Beer hataki tunywe
Ugali hataki tule
Juzi nilikuwa mitaa ya Ofisi yake, nilikuwa nimeagiza wali Samaki na kachumbali, kuona anakaribia kwenye Meza yangu akafanya hadi nizuge chakula hakikua changu maana alishaanza kunipa risala zake 🙌
Sasa sijui anataka tufe na njaa kabisa ama nini 🙌
🤣🤣🤣 Useme wewe labda watakuelewa.Tuishi tu kwa kweliUnafanya diet, unatoka unagongwa na gari unakufa. Au unaenda kibaruani kwako unaangukiwa na jengo unakufa 😒