Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mjumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Joseph Haule maarufu Prof Jay amesema Rais Samia alikuwa kama Mama yake wakati akimshukuru kwa jitihada zake za kumtibia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SOON ANAHAMIA CCMMjumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Joseph Haule maarufu Prof Jay amesema Rais Samia alikuwa kama Mama yake wakati akimshukuru kwa jitihada zake za kumtibia.
Bora aje tu, je angekufa bila tiba we ungelea familia yake!!?SOON ANAHAMIA CCM
Hizo gharama za matibabu haikuwa hongo?Pole sana Prof. Hongera na akhsante Samia Suluhu Hasan
jay ni muungwana sana ana hofu ya Mungu si mnafiki shukurani toka moyoni!Mjumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Joseph Haule maarufu Prof Jay amesema Rais Samia alikuwa kama Mama yake wakati akimshukuru kwa jitihada zake za kumtibia.
Kikubwa mwamba kapata ahueni haya mengine tutarudi mezani na jukwaani kuona wapi tunasimamia.Hizo gharama za matibabu haikuwa hongo?