Prof Jay: Rais Samia alikuwa kama Mama yangu, alipata uchungu wa Mama

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mjumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Joseph Haule maarufu Prof Jay amesema Rais Samia alikuwa kama Mama yake wakati akimshukuru kwa jitihada zake za kumtibia.

jay ni muungwana sana ana hofu ya Mungu si mnafiki shukurani toka moyoni!
 
Attachments

  • 20240521_060734.jpg
    20240521_060734.jpg
    77.2 KB · Views: 1
Back
Top Bottom