Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Kwa mabayaMtanikumbuka 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mabayaMtanikumbuka 😂
Tatizo ni CCMHizi ni rasharasha
Mvua zenyewe ni mwakani 2025, ambapo wagombea wa CDM Kwa ngazi ya Udiwani na Ubunge watakapoenguliwa na kuachwa wa UDP ama Sauti ya Umma 🙌
Kuna watu walidhani Samia angekuwa tofauti na JPM, ili hali amekuwa Msaidizi wake Kwa miaka 6
Mkuu hapo unataka kusema mama Samia ndiyo anatishiwa kwasababu ameenguq wagombea wote? Au unamaanisha kuwa mama Samia ndiyo anahusika kuengua majina? Na kama anahusika unaona siyo busara kupewa vitisho?Yaaan
Huyu joseph haule tumemhudumia pale hospital nusu afe mama katoa mamilion ya fedha ya kumtibia lakini leo anasema tusije laumiana anatishiana na serikali aisee
DED hawezi kufanya kinyume na maelekezo ya kutoka juu.Mkuu inawezekana sio mama ila ni wakurugenzi kutaka kufagilia kibarua chao, kazi za chawa
Nilivyoona kapiga chini kinana na kuwarudisha wahuni kwenye system nikajua shuguli imeisha hapa.Hizi ni rasharasha
Mvua zenyewe ni mwakani 2025, ambapo wagombea wa CDM Kwa ngazi ya Udiwani na Ubunge watakapoenguliwa na kuachwa wa UDP ama Sauti ya Umma 🙌
Kuna watu walidhani Samia angekuwa tofauti na JPM, ili hali amekuwa Msaidizi wake Kwa miaka 6
Umesema sahihi, tatizo ni system iliyopo.Tatizo ni CCM
CCM inatumia Dola kubaki madarakani ~ Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM, Dr Bashiru AllyNilivyoona kapiga chini kinana na kuwarudisha wahuni kwenye system nikajua shuguli imeisha hapa.
We're still on process✊🏿"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
Tutamkumbuka kwa kuacha urithi wa wizi wa kura katika nchi hii, kabla yake ,masuala haya hayakuwepoMtanikumbuka 😂
Hii ni kazi rahisi kama ofisi ya kijiji ipo mtaani kwetu halafu ambaye hajachaguliwa anakuja kuikalia na sisi tunamuangalia wenye makosa ni wananchi. Lazima ofisi ya kijiji iwe chini ya mtu mliye mchaguwa wenyewe kinyume na hapo fanyeni kama mmkuta mwizi ndani ya nyumba yako.Hayawi hayawi sasa yamekuwa ni ngumu sana kumtenganisha baba na mama. Like father like mother, sasa tunarudi misiri tulikotoka.
Wagombea wote wa chadema katika wilaya ya kilosa wamepigwa chini wote. 4R bye bye bye hii ndio "Afrika"
Source joseph haule A.K.A Profesa J. Mgombea umbunge wa jimbo la mikumi. Mungu ibariki Tanzania.
====
Wagombea wote wa CHADEMA Wilaya ya Kilosa majina yao yameenguliwa.
Tunawasisitiza wasimamizi wa uchaguzi wayarudishe mara moja majina ya wagombea wetu wote wa CHADEMA walioenguliwa makusudi wilayani Kilosa la sivyo tusije kulaumiana. - Joseph Haule M/kiti wa CHADEMA wilaya ya Kilosa.
Kupata matukio yote kimkoa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa bofya hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hivi kwanini Watanzania tumeamua kujitoa ufahamu kwa kiwango hiki!? Fikiria msimamizi wa uchaguzi anaengua majina YOTE ya wagombea wa CHADEMA Wilaya nzima! Kwa namna yoyote ile hili linaweza kueleweka au kukubalika katika JAMII ya KITANZANIA!?Hayawi hayawi sasa yamekuwa ni ngumu sana kumtenganisha baba na mama. Like father like mother, sasa tunarudi misiri tulikotoka.
Wagombea wote wa chadema katika wilaya ya kilosa wamepigwa chini wote. 4R bye bye bye hii ndio "Afrika"
Source joseph haule A.K.A Profesa J. Mgombea umbunge wa jimbo la mikumi. Mungu ibariki Tanzania.
====
Wagombea wote wa CHADEMA Wilaya ya Kilosa majina yao yameenguliwa.
Tunawasisitiza wasimamizi wa uchaguzi wayarudishe mara moja majina ya wagombea wetu wote wa CHADEMA walioenguliwa makusudi wilayani Kilosa la sivyo tusije kulaumiana. - Joseph Haule M/kiti wa CHADEMA wilaya ya Kilosa.
Kupata matukio yote kimkoa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa bofya hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hivi kwanini Watanzania tumeamua kujitoa ufahamu kwa kiwango hiki!? Fikiria msimamizi wa uchaguzi anaengua majina YOTE ya wagombea wa CHADEMA Wilaya nzima! Kwa namna yoyote ile hili linaweza kueleweka au kukubalika katika JAMII ya KITANZANIA!?
Huku kujitoa ufahamu kwa kiwango hiki na kujifanya Mazombi kunalisaidia nini Taifa!? Walianza na kukimbia Ofisi za umma kujificha ili wagombea wa vyama vya upinzani wasipate kuchukua au kurudisha fomu. Walio bahatika kupata fomu na kuzirejesha ,majina yao wameeng'uliwa! Kama hatukua tayari kufanya uchaguzi ilikua ni bora tukaacha kupoteza pesa ,kupoteza muda watu kujiandikisha,na kuwapotezea muda watu kuchukua fomu.
Hii Tanzania ni ya wote , huu ubaguzi katika uongozi ulio anzishwa na Hayati Magufuli haukubaliki.
Hayati alikua akituhumiwa hata akiwa bado Mbunge kwa tuhuma za kuwateka wapinzani wake katika Ubunge na mbinu chafu wakati wa uchaguzi.Sasa tumerithi umekua ndio mfumo wa Taifa was uchaguzi, kubaguana kwa vyama! Haikubaliki duniani na mbinguni, haikubaliki!
🤣🤣🤣Labda aiseUtakuwa kuwa wa kenya huu
Mkuu safari ni ndefu mnoHivi kwanini Watanzania tumeamua kujitoa ufahamu kwa kiwango hiki!? Fikiria msimamizi wa uchaguzi anaengua majina YOTE ya wagombea wa CHADEMA Wilaya nzima! Kwa namna yoyote ile hili linaweza kueleweka au kukubalika katika JAMII ya KITANZANIA!?
Huku kujitoa ufahamu kwa kiwango hiki na kujifanya Mazombi kunalisaidia nini Taifa!? Walianza na kukimbia Ofisi za umma kujificha ili wagombea wa vyama vya upinzani wasipate kuchukua au kurudisha fomu. Walio bahatika kupata fomu na kuzirejesha ,majina yao wameeng'uliwa! Kama hatukua tayari kufanya uchaguzi ilikua ni bora tukaacha kupoteza pesa ,kupoteza muda watu kujiandikisha,na kuwapotezea muda watu kuchukua fomu.
Hii Tanzania ni ya wote , huu ubaguzi katika uongozi ulio anzishwa na Hayati Magufuli haukubaliki.
Hayati alikua akituhumiwa hata akiwa bado Mbunge kwa tuhuma za kuwateka wapinzani wake katika Ubunge na mbinu chafu wakati wa uchaguzi.Sasa tumerithi umekua ndio mfumo wa Taifa was uchaguzi, kubaguana kwa vyama! Haikubaliki duniani na mbinguni, haikubaliki!
Si mlishangilia kwamba dhalimu kafa sasa mnapumua huku mama yenu akipiga mwingi?Hakika sintaacha kumlaani Magufuli muasisi wa huu upumbavu. Chura kiziwi ajitazame sana haki za watu huwezi kuzichezea Mungu akakuacha salama.
Tuendelee kumuomba Mungu mpaka aamue huu ugomvi dhidi ya Haki