Samatta tumpe daraja la jangwani pale.Mwacheni mzee wa watu apumzike, kila kitu Magufuli ? Navingine tuviite hata Samatta sasa...
Kwani ile stendi ya Serikali pale mboni inaitwa jina la mtu? Au huijui stendi ya Magufuli kuna ubaya gani eneo la makazi ya viongozi likiitwa jina la alieanzisha ujenzi wa hilo eneo husika mfano Kijazi flyover interchange aliyejenga si unamjua na ile pale Mfugale flyover interchange aliyejenga si unamjua kapewa jina lake kwanini haujahoji hii flyover ya serikali kwanini inaitwa jina la mtu, kuna shule inaitwa Samia Sekondari School kule Tabora vipi ushawahi kusema hii shule ya serikali kwanini inaitwa jina la mtu, hospital JKCI au niseme The Jakaya Kikwete Cardiac Institute hio ni hospital ya serikali kwanini hukuwahi kusema hii kwanini inaitwa jina la mtu? Kuna shule inaitwa Yusuphu Makamba kwanini hujasema hii shule ya serikali kwanini inaitwa jina la mtu? Kuna shule ya sekondari ya serikali mpaka mabweni ya wanafunzi yanaitwa Salima Kikwete kwanini hujawahi kuhoji haya majengo ya serikali kwanini yapewe jina la mtu? Are you people insane? What's the fucks is this?Ule mji wa serikali utaitwaje jina la mtu?
Umemwaga povu bure.Kwani ile stendi ya Serikali pale mboni inaitwa jina la mtu? Au huijui stendi ya Magufuli kuna ubaya gani eneo la makazi ya viongozi likiitwa jina la alieanzisha ujenzi wa hilo eneo husika mfano Kijazi flyover interchange aliyejenga si unamjua na ile pale Mfugale flyover interchange aliyejenga si unamjua kapewa jina lake kwanini haujahoji hii flyover ya serikali kwanini inaitwa jina la mtu, kuna shule inaitwa Samia Sekondari School kule Tabora vipi ushawahi kusema hii shule ya serikali kwanini inaitwa jina la mtu, hospital JKCI au niseme The Jakaya Kikwete Cardiac Institute hio ni hospital ya serikali kwanini hukuwahi kusema hii kwanini inaitwa jina la mtu? Kuna shule inaitwa Yusuphu Makamba kwanini hujasema hii shule ya serikali kwanini inaitwa jina la mtu? Kuna shule ya sekondari ya serikali mpaka mabweni ya wanafunzi yanaitwa Salima Kikwete kwanini hujawahi kuhoji haya majengo ya serikali kwanini yapewe jina la mtu? Are you people insane? What's the fucks is this?
Mbona mnalilia vitu vidogo sana na kuacha mambo makubwa na muhimu. Sasa hilo jina litakusaidia nini?Muandishi ashangazwa kuhusu matumizi ya neno Mji wa serikali ambapo mara nyingi ulikuwa ukifahamika kama Magufuli City, lakini jina hilo limekuwa nadra sana kutamkwa.
Baada ya hotuba ya Waziri Mhe. Kabudi, mbele ya waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya uzinduzi wa Mji wa Serikali, ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatarajiwa kuwa mgeni rasmi, mwandishi wa habari Awadhi Omary kutoka KANIKI TV ameibua hoja kuhusu jina la Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Katika kipindi cha maswali na majibu, Awadhi Omary alihoji sababu za hotuba hiyo kutotaja jina la Hayati Rais Magufuli, ambaye amekuwa akihusishwa na uanzishwaji na ujenzi wa Mji wa Serikali, huku akieleza kuwa jina la Magufuli City au Mji wa Magufuli limekuwa likitumika katika mazoea ya wengi wanapoutaja mji huo.
Swali hilo limeibua hoja kuhusu utambuzi wa mchango wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika kuanzisha na kusimamia utekelezaji wa mradi huo mkubwa wa kimkakati wa Serikali.
View attachment 3699878
Nimesema kwanini hakuhoji kabla nipe uzi wake wa zamani akiwa anahoji hilo jambo au mpaka jamaa waje waulize kwamba kwanini huu mji ulikua na jina hili nyinyi mnataka kufanya janja janja mlifute muweke majina yenu, hivi sijui tunaelewana wewe Samia Scholarship?Umemwaga povu bure.
Mbona jamaa kauliza swali la msingi kwa upana, na hajamaanisha kuulizia jina la JPM pekee.
Naungana na jamaa, ni upuuzi kuipa miradi ya umma maana haina tija wala maana yoyote. Kuna ufahari gani kila sehemu au kitu kinaitwa jina la mtu mmoja au inasaidia nini Taifa?
Ni yupi aliyetumwa, na ametumwa kufanya nini?Ametumwa siyo utashi wake
Mjinga wewe, Benjamin Franklin yupo kwenye pesa ya Marekani for Years, mamako nani? Afrika hivi afrika vile ujinga umewajaa vichwani kila kitu afrika kenge wadogo nyinyiKatika vitu ambavyo vinanishangaza hasa Afrika ni kuvipa majina ya watu vitu au maeneo yetu ambayo ni ya kitaifa
Unaujua mji wa serikali ya Marekani unaitwaje?Ule mji wa serikali utaitwaje jina la mtu?
Unaulizia uchawa chawani? Utaitwa mji wa mama subiri Makonda apewe kipaza sauti.Ule mji wa serikali utaitwaje jina la mtu?