Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Wewe mwenye Akili una impact gani kwenye jamii tu inayokuzunguka, au wewe ni keyboard warrior tu
Hiyo miradi ilikuwa wazi, mbona hata bajeti zake ziliwekwa mitandaoni na vigogo wa serikali walibanwa matumizi yasiyo ya msingi hili fedha zijenge miradi, au wewe ni mgeni hapa nchini
Hao unaosema wameweka uwazi, wamefanya nini mpaka sasa hivi, au wameacha legacy gani....Hao unaowasifia kwa uwazi ndio walioiga watu risasi October baada ya wananchi kudai uozo kwa viongozi.
Usipokuwa na husuda utaelewa nazungumzia nini
Huyo mnaesifia kakaaa anaenda mwaka wa 7 sasa, nitajie project ya maana
Logical non sequitur fallacy.
Mimi sijagombea urais. Impact yangu kwa jamii inayonizunguka wanaijua wao, nikikwambia nasomesha watu wangapi mpaka Kazakhstan huwezi kuelewa.
Mimi si mtu ninayejadiliwa hapa, usigeuze mjadala kutoka Magufuli, mtu aliyegombea urais akaupata, kwenda kwangu, mtu ambaye sitaki hata kuwa katibu tarafa Tanzania.
Ukigeuza mjadala hivyo, utajionesha wewe ni mjinga. Hujui kuchambua mambo unafanya logical non sequitur fallacy.
Hujui kanuni za kulinganisha vitu vinavyolingana. Compare like to like.
Weka miradi hiyo mitano na bajeti zake tuijadili mwanzo mpaka mwisho.
Halafu pia, tumjadili Magufuli kama rais kwa mapana zaidi ya miradi tu, rais hapimwi kwa miradi tu.
Ukimpima rais kwa miradi tu unajionesha wewe ni masikini, limbukeni, mshamba, una poverty anxiety una reduce uongozi wa nchi kwenye miradi tu, hata uwezo wa kufikiria mambo ya msingi nje ya miradi huna.
Halafu avha ujinga w akuona kika anayemkisoa Magufuki ni anayemsifia Samia.
That is a falae dichotomy logical fallacy.
Ninayemsifia anayeenda mwaka wa saba ni nani huyo? Weka haoa nilipomsifia tuone unajua unachoandika.
Wewe ni kama nyumbu unayewayawaya tu.